akili maki
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 238
- 205
Nchi haina sheria
They should have already been fired. Public Lamentations from a person of such high office in the current governing system , really shows how much we have compromised with impunity.Akiwa mkoani Kagera, Ndugu Bashiru Ally ambaye ni Katibu wa CCM amesema anashangaa vitendo vinavyotaka kujikita mzizi kwa maafisa wa Serikali kujichukulia sheria mkononi.
Bashiru Ally amewashangaa maafisa hao wanaoshindwa kutofautisha kazi za mihimili yaani mahakama, Serikali na Bunge.
Bashiru Ally amesisitiza kuwa mwenye mamlaka ya kutoa adhabu ni Mahakama tu na si vinginevyo, Amesisitiza Mahakama ndio yenye uwezo wa kupima kosa na kutoa adhabu.
Ndugu Bashiru amewaonya watendaji hao wa serikali kuacha kuvunja sheria za nchi kwa kuwacharaza watu viboko.
Rais alishasema ukifanya kazi utaonekana lakini si kwa kujipiga piga picha na kuvunja sheria ili uonekane, Kigwangalla aliyafanya hayo lakini sasa ameachwa pembeni tupo nae mtaani bila ulinzi tukitegemea sungusungu na ulinzi shirikishi.
Wewe ulitaka bashiru afanyeje ?Magufuli alimsifia hadharani RC wa Mbeya kwa kuwacharaza wanafunzi kinyume cha sheria za nchi , huyu ndio mteuzi , unadhani usanii wa Bashiru nani atadanganyika nao ?
Anyamaze tu ili aendelee kutafuna pesa za ccm bila bughudha , asitudanganye kuzungumzia asiyo na mamlaka nayo na ambayo Bosi wake anayafurahia .Wewe ulitaka bashiru afanyeje ?
Mamlaka ya kuzungumza na kukemea pia hana ?Anyamaze tu ili aendelee kutafuna pesa za ccm bila bughudha , asitudanganye kuzungumzia asiyo na mamlaka nayo na ambayo Bosi wake anayafurahia .
Watanzania siyo Wajinga sana - Magufuli
Tatizo nyie mnaona upande mmoja tu wa kudhalilishwa lakini hamuangalii matatizo waliyosababisha hao jamaa...Ni maajabu kweli....Mfano wale watoto walikuwa wanachoma moto shule...hamuoni jamii na wanafunzi wameathirikaje kwa sababu yao...mnaanza kuona huruma tena...shwainnnny kweliNimefrahi Sana, Mungu ambariki Dr. Bashiru,inastikisha sana hawa viongozi Wa sasa,yaani wanaona kudharilisha watu eti ndo utendaji Nazi,hivi kwanini wahanga Wa haya matukio hawaendi mahakamani kushitaki?
Mheshimiwa rais anapaswa kuwa makini sana katika kuteua viingozi Wa government, maana wengi wao wamejawa mihemko bila kutumia hekima
Mbona mwalim Nyerere alikuwa analambisha watu viboko waende wakawasimulie wake zaoKwa kweli hakuna mtanzania anapenda kuna matendo ya kihuni yakifanyika katika Jamii kama Yale ya kufungia walemavu,kuiba madawati nk.
Lakini kiukweli tunatamani adhabu ziwe Kali lakini zile za kisheria.Lakini hizi za viboko kwa kweli mmmh....sijajua zinabaraka za nani.
Siku moja nahofu tutakuja wadhalilisha viongozi wetu.Tutoe adhabu Kali ambazo zipo kisheria au mahakama zetu zimebariki.
Wasi wasi wangu itafika siku kila kosa viongozi wetu wataona adhabu ni viboko.
Lakini mbona mkuu wa kaya anaona huo ni uchapa kazi? Si alimpongezaga mkuu wa mkoa Mbeya kwa kucharaza watu viboko?Maneno ya busara Sana hayo.
Hivi Katibu Uenezi wa Chama cha magufuli ni nani kwa sasa ?Akiwa mkoani Kagera, Ndugu Bashiru Ally ambaye ni Katibu wa CCM amesema anashangaa vitendo vinavyotaka kujikita mzizi kwa maafisa wa Serikali kujichukulia sheria mkononi.
Bashiru Ally amewashangaa maafisa hao wanaoshindwa kutofautisha kazi za mihimili yaani mahakama, Serikali na Bunge.
Bashiru Ally amesisitiza kuwa mwenye mamlaka ya kutoa adhabu ni Mahakama tu na si vinginevyo, Amesisitiza Mahakama ndio yenye uwezo wa kupima kosa na kutoa adhabu.
Ndugu Bashiru amewaonya watendaji hao wa serikali kuacha kuvunja sheria za nchi kwa kuwacharaza watu viboko.
Rais alishasema ukifanya kazi utaonekana lakini si kwa kujipiga piga picha na kuvunja sheria ili uonekane, Kigwangalla aliyafanya hayo lakini sasa ameachwa pembeni tupo nae mtaani bila ulinzi tukitegemea sungusungu na ulinzi shirikishi.
Waliochapwa bakora mbn hawakupewa warning - mbn walionunua vx hawakusamehewa, walioshindwa kuapa hawakusamehewa, waliotuhumiwa kwa ardhi hawakusamehewa - wachukuliwe hatuaWapewe warning wanahitaji kujifunza ni wachanga katika uongozi.
Unakemea jambo ambalo huna uwezo nalo na huku wewe mwenyewe ukitumia dola kukandamiza wengine!Mamlaka ya kuzungumza na kukemea pia hana ?
Mamlaka ya kukemea ni uthibitisho kuwa ana uwezo nalo wa kulikemea.unakemea jambo ambalo huna uwezo nalo na huku wewe mwenyewe ukitumia dola kukandamiza wengine !
Mazoa hujenga tabiaAkiwa mkoani Kagera, Ndugu Bashiru Ally ambaye ni Katibu wa CCM amesema anashangaa vitendo vinavyotaka kujikita mzizi kwa maafisa wa Serikali kujichukulia sheria mkononi.
Bashiru Ally amewashangaa maafisa hao wanaoshindwa kutofautisha kazi za mihimili yaani mahakama, Serikali na Bunge.
Bashiru Ally amesisitiza kuwa mwenye mamlaka ya kutoa adhabu ni Mahakama tu na si vinginevyo, Amesisitiza Mahakama ndio yenye uwezo wa kupima kosa na kutoa adhabu.
Ndugu Bashiru amewaonya watendaji hao wa serikali kuacha kuvunja sheria za nchi kwa kuwacharaza watu viboko.
Rais alishasema ukifanya kazi utaonekana lakini si kwa kujipiga piga picha na kuvunja sheria ili uonekane, Kigwangalla aliyafanya hayo lakini sasa ameachwa pembeni tupo nae mtaani bila ulinzi tukitegemea sungusungu na ulinzi shirikishi.
MATAGA una shida. Mwanzo hukukemea...uliona sawa tu. Sasa hivi unajifanya unamsapoti Dr. Bashiru.Nimefrahi Sana, Mungu ambariki Dr. Bashiru,inastikisha sana hawa viongozi Wa sasa,yaani wanaona kudharilisha watu eti ndo utendaji Nazi,hivi kwanini wahanga Wa haya matukio hawaendi mahakamani kushitaki?
Mheshimiwa rais anapaswa kuwa makini sana katika kuteua viingozi Wa government, maana wengi wao wamejawa mihemko bila kutumia hekima