Dkt. Ayub Rioba Vs Prof. Mruma


Tumebaki njanjajanja akina arts tunadunda tu ardhi ya Mola hii
 
Hata uwe msomi wa kiwango cha juu dunia nzima but ukisha join ns kundi lile baaas Kwisha hbr yako!! Usitegemee kutumia usomi wako na taaluma yako!!!
 
Sasa kama walishakiuka vipengele vya mkataba, hata ungempeleka Mwambukusi angesaidia nini?!

Ndiyo maana watu wanakomaa huu mkataba wa DPW uwe na vipengele vya kuvunja endapo mtu akishindwa kutimiza terms walizowekeana pia bandari zisiwekwe rehani kwa waarabu tuwe na say nazo.
 
Mwambukusi? seriously kabisa unaona Mwambukusi ni mwanasheria wa kusimama huko Duniani??
Basi tatizo lako ni kubwa sana
Hata mm nashangaa mwabukusi hata niwe na kesi yangu hata ya wizi wa kuku simpi dhamana ya kesi yangu Yule ni njaaa inamsumbua ndio chazo Cha kelele zote zile

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwambukusi? seriously kabisa unaona Mwambukusi ni mwanasheria wa kusimama huko Duniani??
Basi tatizo lako ni kubwa sana
Unadhani mwambikusi angejibu swali Kama wanavyojibu hao jamaa?
 
Hata mm nashangaa mwabukusi hata niwe na kesi yangu hata ya wizi wa kuku simpi dhamana ya kesi yangu Yule ni njaaa inamsumbua ndio chazo Cha kelele zote zile

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Harafu kitenge na zembwera wanaoutetea mkataba ndo wameshiba?
 
CCM wakikusomesha jifunze ku mind business zako, usiwagise. Ukijifanya kuwaletea zako wanakuteua kwenye nafasi halafu wanachukua akili yako yote waliyokusomesha tena wanakomboleza halafu wanakuacha na fuvu lako.
 
walioshauri zifutwe si ndiyo hawa akina Mruma na wakaonekana mashujaa kweli kweli?
Aliitwa Mzalendo huyu Mruma na mwenzake Osoro. Magu alijua kuishi na vichwa maji.
Lissue akawaambia mtabutuliwa mahamani hamtaamini, fanyeni maubaliano sio kuvunja kijuha. Wakaona anawatukana, wakampiga risasi.
Sasa tunalipa wote, hadi yule mtoto anaetakiwa kupata huduma bora za afya anataabika kwasababu hela inalipa madeni, waliosababisha wapo na hakuna wanachofanywa.

WaTz nao wanaona ni sawa tu, wapo busy kutafuta ugali mchicha kama mbuzi. Mbuzi hawana issue, wanatoka bandani wanaenda kula majani, ukiwachapa leo, kesho wanafanya the same thing. Ukikamata wawili ukawachinja, waliobaki wanaendelea na maisha yao tu....thats the life of Mtanzania. Mbuzi haswa.

CCM inafanya uhuni, watu wamekaa wanaangalia tu. Wanaohangaika kupaza sauti hawapati support ya wananchi....mbuzi tu.
 
Wacha Majungu we jamaa kwani hukuona Mhe Rais alimpa jukumu pale kwenye kile kikao.
 
Watu wawili Tofauti katika Nyadhifa.
Ebu jiulize tunaanza kujadili Jambo ambalo halina uhusiano wa moja kwa moja (zaidi ya Title?) tumefikia wapi?
 
Tangu lini hao kina kibatala wakatetea maslahi ya taifa? Hao wapo kutetea chadema basi maslahi ya taifa siyo kipaumbele chao
Hivi kwenu hakuna asili ya machizi kweli?
Andika yako siku zote ni kama unashirikisha ile kitu tofauti na kichwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…