Ila Kibatala na Lissu wako poa.Kusema la kweli nchi hii ina wasomi wengi.
Nakumbuka Dr Ayubu Rioba wa TBC Enzi akiwa chuoni hakika alikuwa mwanazuoni na tishio la watawala Enzi hizo.
Makayla zake nzito ndizo zilizopelekea MH raisi wa awamu ya tano kumteua kusimamia shirika la umma la TBC ILO lilo wazi na wengi tulijua anaenda kutema checheeee!kilichotokea ni aibu kubwa Kwa taifa mpaka Leo hasikiki amebakia kuwa mhariri yaani mathalani wakiitwa wahariri nae tunamwona anaenda badal ya kutuma watoto wadogo waliopo chini yake.
Mathalani nilimwona juzi kwenye tume ya Haki jinai ulipo ilipokuwa ikizungumza na wahariri.
Ebu jiulize Proffesa Mruma kama alienda kujadili Jambo ambalo linausiana na mikataba alishindwa nini kuwaomba wakina Mwambukusi,Peter kibatala?aende nao wakatetee mikataba ya hivyo hiyo?
CCM ndo inawamaluza wasomi wetu na kuwarudisha nyuma. Job Ndugai wanadai zilikuwa zina chaji ni msomi mwanazuoni wa aina yake nchini. Darasani alikuwa kipanga genius. Angalia XCM ilivyomfanta. Kina kabudi Aidan moto wa kuotea mbali enzi hizo CCM ikamdhohofisha kielimu na kitaaluma.Kusema la kweli nchi hii ina wasomi wengi.
Nakumbuka Dr Ayubu Rioba wa TBC Enzi akiwa chuoni hakika alikuwa mwanazuoni na tishio la watawala Enzi hizo.
Makayla zake nzito ndizo zilizopelekea MH raisi wa awamu ya tano kumteua kusimamia shirika la umma la TBC ILO lilo wazi na wengi tulijua anaenda kutema checheeee!kilichotokea ni aibu kubwa Kwa taifa mpaka Leo hasikiki amebakia kuwa mhariri yaani mathalani wakiitwa wahariri nae tunamwona anaenda badal ya kutuma watoto wadogo waliopo chini yake.
Mathalani nilimwona juzi kwenye tume ya Haki jinai ulipo ilipokuwa ikizungumza na wahariri.
Ebu jiulize Proffesa Mruma kama alienda kujadili Jambo ambalo linausiana na mikataba alishindwa nini kuwaomba wakina Mwambukusi,Peter kibatala?aende nao wakatetee mikataba ya hivyo hiyo?
Wengi wetu humu hawaelewi, tatizo sio wanasheria ila sisi kama nchi hatukuwa na hoja za maana kujitetea mahakamani, nchi yetu ilifuta leseni za wawekezaji zilizopo kisheria kwa kutumia ubabe!Ila Kibatala na Lissu wako poa.
goodKusema la kweli nchi hii ina wasomi wengi.
Nakumbuka Dkt. Ayub Rioba wa TBC enzi akiwa chuoni hakika alikuwa mwanazuoni na tishio la watawala enzi hizo.
Makala zake nzito ndizo zilizopelekea Raisi wa awamu ya tano kumteua kusimamia shirika la umma la TBC na wengi tulijua anaenda kutema cheche, kilichotokea ni aibu kubwa Kwa taifa mpaka leo hasikiki amebakia kuwa mhariri yaani mathalani wakiitwa wahariri nae tunamwona anaenda badala ya kutuma watoto wadogo waliopo chini yake.
Mathalani nilimwona juzi kwenye tume ya haki jinai ulipo ilipokuwa ikizungumza na wahariri.
Ebu jiulize Prof. Mruma kama alienda kujadili Jambo ambalo linausiana na mikataba alishindwa nini kuwaomba wakina Mwambukusi, Peter kibatala aende nao wakatetee mikataba hiyo?
Sasa kama walishakiuka vipengele vya mkataba, hata ungempeleka Mwambukusi angesaidia nini?!Wangempeleka mwambukusi jamani
Wanapelekwa machawa kwenda kutetea mikataba badala ya wajuziNi utahira wa kupindukia kuacha kutumia Mtanzania mwenye uwezo mkubwa kwenye nyanja fulani kisa tu ni mpinzani.
Hii inchi ingekuwa inathamini "vichwa" pamoja na taaluma (profession), hakika ingekuwa imepiga hatua kubwa sana.
Tatizo ni kikundi fulani kiitwacho "chama" kinachoongoza inchi, hakithamini hivyo vitu viwili zaidi ya kuthamini ujinga, wingi, ushirikina na ubabe.
Kuna lugha za kimahakama wanaweza kuomba yafanyike mapitio na mengine mazuriSasa kama walishakiuka vipengele vya mkataba, hata ungempeleka Mwambukusi angesaidia nini?!
walioshauri zifutwe si ndiyo hawa akina Mruma na wakaonekana mashujaa kweli kweli?Wengi wetu humu hawaelewi, tatizo sio wanasheria ila sisi kama nchi hatukuwa na hoja za maana kujitetea mahakamani, nchi yetu ilifuta leseni za wawekezaji zilizopo kisheria kwa kutumia ubabe!
Huyu Mruma si ndiyo alisaini mikataba na kuvunja pia alihusikaMakosa yalishafanyika enzi za mwendazake, kule Washington hata tungepeleka malaika (au jopo lote la TLC) tusingetoboa...ilikuwa ni kutapatapa tu!
Tangu lini hao kina kibatala wakatetea maslahi ya taifa? Hao wapo kutetea chadema basi maslahi ya taifa siyo kipaumbele chaoKusema la kweli nchi hii ina wasomi wengi.