Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Ama hakika uchawa mbaya sana. Kupitia kipindi cha Jambo Tanzania Cha TBC leo Novemba 25, 2025 mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania anasema vyombo vya habari vya magharibi vilitakiwa kutusaidia kuripoti kuhusu serikali ya Rais Samia kupunguza vifo vya mama na mtoto na si yaliyotokea Oktoba 29.
