DKT. Augustine Lyatonga Mrema

Kunta Kinte

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2009
Posts
3,690
Reaction score
1,294
Leo wakati wa kipindi cha maswali bungeni nimemsikia spika akimuita Mrema kama Dkt. Augustine Lyatonga Mrema, nilidhani amekosea lakini wakati Aggrey Mwanri anajibu swali la Mrema nae alimuita hivyo hivyo-najiuliza amekuwa lini Dkt.? Mwenye kujua tafadhali nisaidie
 
Inawezekana hizi DK. zina maana nyingine siku hizi isiyo ya kitaaluma.
DK=Domo Kaya n.k.
 
Ningekuwa na madaraka ningepiga marufuku Tanzania matumizi ya udaktari wa kutosomea; mtu akipewa udakatari na marafiki zake basi anautunza huko huko. Dakatari wa kuhesimika atakuwa ni yule tu aliyepasi Viva inayojulikana.
 
Dr Reginald Mengi soon utasikia DR wema sepetu

Kwi! kwi! kwi! inawezekana kwa sababu madakta ni watu waliobobea kwenye fani fulani, huyu naye amebobea kwenye mambo yetu yaleee!!!
 
Ndio maana nyerere alipenda aitwe mwalimu na alikuwa mwalimu wa watu kweli kuliko hawa wasanii akina kikwete na mrema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…