mwambie aliyekutuma ailoweke akili yako kwenye jik ipate weupe wake wa asili! usitutafutie ban!
Kwa nini uwe nyuma yake , na usitangulie mbele yake? teh teh teh , acheni kumdanganya Ulimpoka asije akaingia Mkenge tena, kitendo alichokuwa akiwafanyia wagonjwa Mungu hakipendi, bali kinapendwa na wanaharakati, wanasiasa uchwara na watu wanaopenda kuona vurugu zikitokea nchini.
Hakuna Mungu anayemwamuru mtu kugoma, acha kukufuru wewe, Shetani huyo alimtuma, ila Mungu kamponya ili arudi apime kama alichokuwa akiwafanyia wanyonge kinastahili kweli.
Kweli? Ulimboka ndiyo kasababisha hilo janga?Akili yako haina tofauti na ile Mkurugenzi wa TAWLA. Anaacha kufanyakazi zinazoendana na kazi yake anajipendekeza kutafuta Mume, hivi hajui kuwa Ulimboka ana mke? Aje kwangu mimi Bachelor. Watoto wa kike wanaripotiwa kuozwa na wazazi wao na kuacha shule, Wanawake wanazalishwa na wanaume kuwakimbia, watoto wa kike wanabakwa. Hayo ndiyo yanahusu shughuli zake, badala yake anakimbili kuvaa mabango ya kumpokea Ulimboka ambaye ni janga kwa wagonjwa wa hali ya chini.
Wapigania haki duniani mara nyingi hawafaidi wao, bali hufaidi wengine. Nchi hii ina watu wachache sana, wanaoweza kuthubutu, nao ni kama Dr Ulimboka. MUNGU AKUREHEMU DR.
Hakuna Mungu anayemwamuru mtu kugoma, acha kukufuru wewe, Shetani huyo alimtuma, ila Mungu kamponya ili arudi apime kama alichokuwa akiwafanyia wanyonge kinastahili kweli.
Akili yako haina tofauti na ile Mkurugenzi wa TAWLA. Anaacha kufanyakazi zinazoendana na kazi yake anajipendekeza kutafuta Mume, hivi hajui kuwa Ulimboka ana mke? Aje kwangu mimi Bachelor. Watoto wa kike wanaripotiwa kuozwa na wazazi wao na kuacha shule, Wanawake wanazalishwa na wanaume kuwakimbia, watoto wa kike wanabakwa. Hayo ndiyo yanahusu shughuli zake, badala yake anakimbili kuvaa mabango ya kumpokea Ulimboka ambaye ni janga kwa wagonjwa wa hali ya chini.
Mkuu ulimaanisha kuwa MUNGU Amubariki au AMREHEMU kama ulivyoandika? Tafakari
Watanzania bwana , tunafurahia kuona wengine wakipambana katika ujinga. Hivi suala la mgomo ni la kufurahia kweli, ili watu wa hali ya chini waendelee kudhurika au?
Najua anaongea tu lakini moyoni mwake hana hamu...