Dk Ulimboka apewe ulinzi wa kutosha.

General mex

Senior Member
May 1, 2011
158
185
kwa hali inavyoelekea hao watu waliotaka kumuondoa duniani sio watu wadogo tu, na kwa sababu lengo lao halijatimia, badala ya kukaa tu na kujadili kilichotokea pia ulinzi uimarishwe kwani huwezi jua wanaweza wakatafuta mbinu nyingine za kutimiza azma yao. kwa hiyo kwa ushauri tu ni kwamba awekewe ulinzi wa kutosha na hata wanaomuhudumia wawe makini sana kwani unaposhindana na adui usiyemjua, unatakiwa uamini kua mtu mwema ni wewe peke yako. Mungu amjalie dk Ulimboka afya njema aweze kuwaumbua wauaji hao.
 
Nadhani tuwaite haohao wauaji wamlinde!, who else?.

hapo ni kuhakikisha wanaompatia huduma ni wanaoeleweka, na hakuna mtu asiyeeleweka kusogea maeneo aliyopo. hao darasa la saba wasihusike kabisa nhuko ndani. na kama vipi maendeleo yake yawe siri na madaktari mpaka atakapokua na hali nzuri.
 
angalia isije ikawa tunampeleka nje kwa matibabu akarudi ndivyo sivyo maaana everything is possible in tanzania


hapo ni kuhakikisha wanaompatia huduma ni wanaoeleweka, na hakuna mtu asiyeeleweka kusogea maeneo aliyopo. hao darasa la saba wasihusike kabisa nhuko ndani. na kama vipi maendeleo yake yawe siri na madaktari mpaka atakapokua na hali nzuri.
 
i katika kujipendekeza kwenu kwa ccm tunaomba mjichunge kila mtembeapo jihadharini na mabinti na mjichunge mnakula na kunywa wapi lazima tuondoke na mmoja wenu halafu mapata lessons maana watanzania wanteseka sababu ya serikali ya kufisadi na nyie mnashabikia hali hii especialy kitendo cha gerald hando lazima tujibu mapigo wenzenu watakuwa bungeni na sisi nanyie god bless you guys watch your backs:embarassed2:
 
Back
Top Bottom