Mkuu, wewe pia si mbunge na haupo bungeni. Je, huruhusiwi kutoa maoni yako kuhusu kinachoendelea bungeni, kama vile bajeti?Hicho kitabu wamegoma kuchukua lakini kesho utasikia wanauliza maswali kutokana maelezo ya kitabu hicho hicho.
Wazile- wasizile shauri yao, nani anayejali? tuna mambo mengi ya kufanya siyo hayo ya kubembelezana kama watoto yatima
Kila anapokuwepo Dk. Tulia, UKAWA wanaondo na hata kusababisha protokali kuvurugika. Ni kwa kuwa, UKAWA wameweka msimamo wa kutoshirikiana ama kutoshiriki shughuli ambayo yeye (Dk. Tulia) anashiriki.
Hivi ndivyo ilivyotokea leo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma muda mfupi baada ya Kasimu Majaliwa, Waziri Mkuu kumaliza kuzindua Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano.
Baada ya Waziri Mkuu kumaliza hotuba yake na kufuatia zoezi la ugawaji vitabu vinavyoelezea mpango huo kwa ajili ya kujisomea katika taasisi na baadhi ya viongozi mbalimbali. Katika uzinduzi huo mshehereshaji aliyefahamika kwa jina moja la Mzee Mavunde, alianza kuita viongozi mbalimbali ili kuchukua vitabu kwa ajili ya taasisi ama makundi yao.
Ulipofika wakati wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwenda kuchukua kitabu kuwakilisha kambi hiyo, mshereheshaji alimwita mnadhimu mkuu wa kambi hiyo ambapo hakutokea. Baada ya kuonekana kwamba, hakuna anayejitokeza kupokea kitabu hicho, haraka haraka Steven Hillary Ngonyani,Mbunge wa Korogwe Vijijini maarufu kwa jina la Prof. Maji Marefu alichomoka moja kwa moja na kwenda kupokea kitabu cha mpango huo wa miaka 5 kwa niaba ya kambi ya upinzani bungeni.
Kitendo hicho kiliwafanya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao walikuwa ukumbini hapo pamoja na wageni wengine kuangua kicheko. UKAWA wamekuwa wakitoka bungeni pale Dk. Tulia anapoongoza bunge hilo. Hatua hiyo inatokana na malalamiko yao kwamba, kiongozi huyo wa Bunge anaendesha taasisi hiyo kwa kupendelea CCM.
Hicho kipondo cha kahama ilikuwa na kwenye shererhe ya kuchezwa mwali Mbowe wala si mkutano. Kwani Mbowe alikuwapo Kahama. Sasa tuambie alikuwa huko kama mwali?Hatujaanza mikutano meanza kuweweseka je tukianza.? Kweli maigizo hayalipi
Mkuu hujaona Rehema za AllahMkuu kweli uliangalia vizuri mbona usemacho kama vile sicho mkuu
Type maoni yako kuhusu naibu spika.
Pesa ni haki yao walipochaguliwa tu kuwa wabunge mkuuMaigizo pesa wanataka Kazi hawataki.
73. Wabunge wote wa aina zote watashika madaraka yao kwa mujibu wa Katiba hii, na watalipwa mshahara, posho na malipo mengine kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge.bogus KUB! they better get cognizant, the Kikwete. Makinda era gone forever! It is either they stay in the House or leave for ever. The latter is on their peril; politically and socially. They will finally earn themselves political insignificance status. It seems the entire group lacks political intelligence to guide their whims in and outside the House.
Angalia mkuu, matusi hayabogus KUB! they better get cognizant, the Kikwete. Makinda era gone forever!
Chama cha Maandamano why wanaandamana?Kama ni cham kibovu si mkipe tu nafasi sawa, chama kibovu kila siku mnakipiga vitaMikutano, maandamano na matamko.
Of course.Hicho kitabu wamegoma kuchukua lakini kesho utasikia wanauliza maswali kutokana maelezo ya kitabu hicho hicho.
Nonsense . Hata kama Dr Tulia ana makosa wanaume wazima hawatakiwi kutoa psychological torture dhidi Ya mama katika jamii namna hiyo. That's imaturity na wanaonyesha jinsi wasivyoweza kumanage mambo na ku harmonise issues. Hawa Watu mnawashangilia lakini ni majanga Kwenye jamii we have to stand up for this.Dr Tulia kila atapokuwepo UKAWA wataondoka! Nimesikia hata ikitokea sherehe au msiba akiwepo tu ukawa wataondoka na hakika hawamtaki! Ila yeye sababu ni robot asiye na busara atalazimisha tu akijua ametumwa kukandamiza demokrasia! Ni aibu sana pandikizi kuvuruga demokrasia!!