Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
-
- #121
Ukiniambia natoka povu je na wewe unayepepesuka kwajili ya gari la mwendo kasiWe tokwa na povu tu kila sehemu ya mwili wako,wapumbavu ni wale waliokuwa wanadeki barabara ili fisadi lowassa apite,wapumbavu ni wale waliotoa ahadi kwamba fisadi asipoingia ikulu watakuwa tayari..kuuza line zao za mtandao wa Tigo.
Hicho kitabu wamegoma kuchukua lakini kesho utasikia wanauliza maswali kutokana maelezo ya kitabu hicho hicho.
Yeye yuko kisheria actually hao wabunge ndio nonsense! wewe kitabu kinahusu hatima ya Taifa letu kwa miaka 5 unaacha kuchukua waende zao huku wanachotaka ni kujaza matumbo yao. Tupa kule!Dr Tulia kila atapokuwepo UKAWA wataondoka! Nimesikia hata ikitokea sherehe au msiba akiwepo tu ukawa wataondoka na hakika hawamtaki! Ila yeye sababu ni robot asiye na busara atalazimisha tu akijua ametumwa kukandamiza demokrasia! Ni aibu sana pandikizi kuvuruga demokrasia!!
Inasema hivi. Mbunge atasimama kimya pale alipokaa mpaka spika au mwendesha kikao atakapomtaka kusema alichotka kusema.Kanuni ipi wapinzani wamevunja shirikisha ubongo kutaka bunge live nikuvunja kanuni
Ndio mnachojidanganya huko kwenye gari la mwendo kasi?Ukawa posho ikikata watarudi tu
Sheria za Lumumba hizoInasema hivi. Mbunge atasimama kimya pale alipokaa mpaka spika au mwendesha kikao atakapomtaka kusema alichotka kusema.
Nyingine Kiti kikitoa mwongozo ndio mwisho kama hukuridhika fuata taratibu kupinga uamuzi.
Nyingine Spika au mwenyekiti akisimama mbunge lazima akae.
Kanuni zote zenye maelezo haya zimekiukwa na zilizoeleka kukiukwa na kina Lisu wakadhani ni kawaida. Mwanamke wa shoka kaingia kufundisha sheria kwa vitendo kakataa mazoea haya mabaya.
Kwa akili hii mtaishia kuwa upinzani milele. Mnadhani wananchi hawaoni mnachofanya.Posho haijakandamiza demokrasia
Maana wananchi hawaoni maigizoKwa akili hii mtaishia kuwa upinzani milele. Mnadhani wananchi hawaoni mnachofanya.
Ni kama Slaa alivyogomea wakati wa kutangaza matokeo 2010,
Lakini mwisho wa siku akawa anashinda ikulu kunywa ghahawa.
Hiyo ndo SISIEM mbele kwa mbeeeeeeleeeeeeeeeeeeeee, hatunywi sumu hatujinyongi
Mambo ya kike kufanywa na midume mizima ni aibu.
Ukawa ni sawa na ile mijianaume na misuli yao yote lakini yaliwakimbia panya road. Kwa akina Msigwa, Bwege, Silinde, wabunge toka Pemba na wengineo nisiowafahamu tamaduni zao pengine kumkimbia mdada inaweza kuwa si ajabu sana. Lakini sijui imekuwaje kwa waheshimiwa: Heche, Waitara, yule wa monduli na wengineo wa aina hii nao kukubaliana na aibu hii. Kwa culture yetu na kwa issue yoyote ni aibu sana kufurumishwa nje ya nyumba na mwanamama.Haka ka mdada kana wakati mgumu sana.
Kangeangalia sakata la Kitwanga lilivyokuwa na namna aliyopigwa chini, kasingekuwa na kiburi namna hii.
No one is politically safe with Magufuli...
kigeugeu slaa aliyesema nchi haitatawalika kisa kapigwa virungu vya ugoko na hawara yake!!Hicho kitabu wamegoma kuchukua lakini kesho utasikia wanauliza maswali kutokana maelezo ya kitabu hicho hicho.
Ndio zinawapa utaahira chadema huko Dodoma na Mwanamke wa shoka hawapi pumzi.Sheria za Lumumba hizo
Hahahahaaaa. Mbele ya posho kila goti litapigwa.Posho haijakandamiza demokrasia
Kwasasa vi vema Dr Tulia akaongoza vikao vyote kuanzia sasa mpaka mwaka 2020 ili walale nyumbani kabisa hawa nyumbu.Dr Tulia kila atapokuwepo UKAWA wataondoka! Nimesikia hata ikitokea sherehe au msiba akiwepo tu ukawa wataondoka na hakika hawamtaki! Ila yeye sababu ni robot asiye na busara atalazimisha tu akijua ametumwa kukandamiza demokrasia! Ni aibu sana pandikizi kuvuruga demokrasia!!