Dk. Tulia Ackson: Nimebebwa kwa kushindwa kipi?

Dk. Tulia Ackson: Nimebebwa kwa kushindwa kipi?

TULIA anazingatia matakwa ya Sheria za bunge hii tabia ya kutopenda kutii Sheria ndio kunafanya wabunge was upinzani wajione wanaonewa
 
Huyu hajuza nuksi sana,sijui anakula maharage ya wapi?
 
Huyu bi mkubwa akiongea utadhani mzungu
Nikimtizama namkumbuka bi Mkora
 
Wiki iliyopita, waandishi wetu DEUS BUGAYWA NA JOHN DANIEL, walifanya mahojiano maalumu na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, ambaye, pamoja na mambo mengine, alifafanua tuhuma kwamba amebebwa kufikia nafasi hiyo. Endelea
Raia Mwema
Ikitokea Dr. Tulia ndio ameshinda Uspika, naomba kuwahakikishieni, haitakuwa ni kwa sababu ya kubebwa, bali huo ndio mpango wa Mungu kwa Tanzania kwa mujibu wa sauti hii
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Akson ndie Spika ajae! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
P.
 
Back
Top Bottom