Dk. Slaa na Mnyika ndani ya Kimara Suka

Dk. Slaa na Mnyika ndani ya Kimara Suka

Wenye wake zenu huko Kimara, wafungieni ndani hadi huo mkutano uishe.
 
Huo ndio ujinga wenu maana hata aibu hamna matusi hovyo hovyo tu mmekoswa adabu.

Hivi ni watu gani waliambiwa wanafikiri kwa kutumia masaburi niambie usigope.
 
Katibu wa CHADEMA taifa dk. Slaa na Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika leo wanatalajiwa kuwasha moto katika viwanja vya Kimara Suka! wazarendo wote mnakaribishwa.
1. = watarajiwa
2.=Wazalendo
asamte
 
tumewachoka majii miaka 5 hakuna na viongozi wenu ndio wenye magari ya kuuza maji
 
Katibu wa CHADEMA taifa dk. Slaa na Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika leo wanatalajiwa kuwasha moto katika viwanja vya Kimara Suka! wazarendo wote mnakaribishwa.

Leo wanaongelea tukio gani?
 
Wenye matezi dume humu ndani tutawajua tu kwa matendo yenu.

we Ashqui majnuun, acha kutoa lugha za kingese hapa! Kwani hujui kuwa Slaa na Mbowe ni wezi wa madem wa wengine!
 
Back
Top Bottom