Dk Slaa: Mvumilieni Rais Magufuli. Natafakari kurudi nchini siku yoyote

Dr Slaa Ajitathimni Kurud Nchini.......Adai Upinzani Usipojipanga Unaweza Kufutika 2020 source MPEKUZI HURU
 
aende zake huko ,,,,hajakomaa kisiasa pamoja na kuwa na phd anakosa political torelance.....yani kukosa nafasi ya kugombea urais basi upinzani anaona haufai,!!Ni mnafiki na mfano wa utitiri wa wasomi wachumia tumbo tulionao Tanzania!!!
 
Dr ukweli ni mchungu, ila we real need u back hata uwe msemaji tu, hata JPM akikosea mripue tu.

Huko ulikotokaga Dr mwenzio kawapiga nusu kaputi hakuna hamasa kabisa
 
Mzee wewe ulikimbia nchini,ukaenda kula raha kwa wazungu maneno-maneno kuhusu nchi yetu? We baki na raha zako huko canada na sisi tubaki nchini kwetu tutajuana wenyewe humu humu.Kaa kimya.
 
Endelea kuvumilia wewe; sisi tuache na yetu isitoshe shida zetu hazikuhusu kumbe una njia mbadala ya kukaa ulaya mwenzetu
 
Ana mawazo mgando sana Dr Slaa. Hii ni dunia mpya, wewe unadhani Sera za kwenye makaratasi hata ziwe nzuri namna gani bila kuondoa njaa na matatizo kwa wananchi watakukubali?
Ccm haitakiwi sasa hivi kwa vile kuna njaa na mateso basi, na Magu anapiga fix tuu
 

Umeongea kwa mantiki na kwa ustaarabu sana. POINT noted!
 
Kilikuwa ni kipindi kigumu sana. ...wakati katibu wetu Dr. Slaa anatuacha. ..hatukujua kama tungefika hapa. ..ukiangalia mzee Lipumba naye alikuwa amejiachia. ...kwa sasa siasa zimebadilika sana. ..Daktari ni lazima ajue zama zimebadilika sana...
 
Hilo ni buludoza, Slaa anajua aset na liability. Mkimtaka arudi ondoeni liabiliti muone mziki wake.
Akiingia Ccm, toba!
 
rudi huku tumvumilie wote, na hayo mengine uyasemee huku huku.
hatutaki umbea kutoka canada.
unataka kutuaminisha kuwa ungekuwa bado ni katibu mkuu chadema huku tz ungekuwa unamsifia Magufuli kwa kukataza mikutano ya hadhara na watu kushitakiwa ovyo kwa "uchochezi" hewa?
huo ni upinzani uchwara.
unajikombakomba ili iweje? by the way uliomba ruhusa kwa mchumba kuongea haya?
utatafuta nchi ya tatu ya kuishi ohoooo!!
 
Hilo ni buludoza, Slaa anajua aset na liability. Mkimtaka arudi ondoeni liabiliti muone mziki wake.
Akiingia Ccm, toba!
Hiyo ni historia, siasa zile za Slaa sasa hivi hakuna wa kumsikiliza na haziwezj kuleta badiliko lolote
 
Mzee wewe ulikimbia nchini,ukaenda kula raha kwa wazungu maneno-maneno kuhusu nchi yetu? We baki na raha zako huko canada na sisi tubaki nchini kwetu tutajuana wenyewe humu humu.Kaa kimya.
..wala hakuna cha raha huko aliko wala nini...aliyekudanganya anakula raha nani?.....huko ng'ambo aliko wala hapati mapato kama alivyokuwa anapata TZ chini ya chedema....huko waliko na mchumba wake sana sana wanafanya kazi nje ya taaluma zao....kama kuna ufadhili na utakua unaishia sasa...na kama ni kazi wanafanya basi ujue ni za kitwana tu....mfano kuosha vyooo ama vyombo kwenye mahoteli ya wazungu....usidhani wanapokaa nje ya nchi wana raha sana....usisahau pia kuwa hata hali ya hewa sio friendly huko waliko.....sasa inaonekana ufadhili wao huko umeisha...na sasa wanatafta kiki za kurudia bongo...ni rahisi sana kuwasoma watu wanafiki na waongo....kama huyu babu...
 
Akirudi na akitaka kurudisha heshima yake aache kumtumia yule "mchumba" kama mshauri wake.
Hakika nawaambia, aliyemharibia Slaa maisha yake ya kisiasa ni "mchumba"
Mkuu kubali Dr Slaa amekuchakaza. Gusia hoja zake na siyo personality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…