Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Huyu mzee ni muovu mpaka kanisani sijui kama ipo sehemu anayokuwa msafi.
Tarifa zilizoripotiwa na gazeti moja la mkakati limebainisha kuwa ubaguzi wa mzee slaa sasa umemweka pabaya,
Tarifa zaidi zinasema kuwa mzee slaa amekuwa mbaguzi kila anapokuwa kwa kubagua kundi flani la watu kwa malengo anayojua yeye,
Tarifa zaidi soma gazeti la mkakati leo 30/04/2015.
mods vipi?.Jukwaa hili lisitumike kupromoti mageti njaa hizo zinazoendeshwa na ccmTarifa zilizoripotiwa na gazeti moja la mkakati limebainisha kuwa ubaguzi wa mzee slaa sasa umemweka pabaya,
Tarifa zaidi zinasema kuwa mzee slaa amekuwa mbaguzi kila anapokuwa kwa kubagua kundi flani la watu kwa malengo anayojua yeye,
Tarifa zaidi soma gazeti la mkakati leo 30/04/2015.
mods vipi?.Jukwaa hili lisitumike kupromoti mageti njaa hizo zinazoendeshwa na ccm
Inavyoelekea ajira hii ikikata mtaweza hata kugeukia tasnia ya udada/ukaka poa ili muendelee kupeleka tonge mdomoni.. Maana sidhani kama mtakuwa na uwezo wa kutafuta mkate kwa njia za kawaida once hii Lumumba Project ikifa..
CHADEMA inakufa, ACT-Wazalendo inachukua nafasi. Lazima mkasimame usiku pale Billcanas.
CHADEMA inakufa, ACT-Wazalendo inachukua nafasi. Lazima mkasimame usiku pale Billcanas.
Pale CCM wanaposhabikia chama cha upinzani, ndio utaua hata ka kachama ni kijitawi chao, japo kameshakufaCHADEMA inakufa, ACT-Wazalendo inachukua nafasi. Lazima mkasimame usiku pale Billcanas.