Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,011
- 1,794
Asante dr.slaa karibu c.c.m chama cha cha watanzani..
huko hata mfunge mwaka mzima haji..............mwajisumbua bureeeeeeeeeeeeeeeeeee
naona hata wew mwenyewe umeingiza misi kama vokswagen ulivyojaribu kulitaja hilo lichama
Binafsi kama mwenye mapenzi ya kitaifa sina hamu tena na DK Slaa kama ameamua kunywa matapishi yake mwenywewe basi HESHIMA Yangu kwake imekuwa ZERO...Sasa hivi heshima yangu iko kwa LIPUMBA kwa kusimamia DHAMIRA [WILL] na sio MATAMANIO YA VISHIKIKAVYO YANI HUMAN MATERIAL.
Binafsi kama mwenye mapenzi ya kitaifa sina hamu tena na DK Slaa kama ameamua kunywa matapishi yake mwenywewe basi HESHIMA Yangu kwake imekuwa ZERO...Sasa hivi heshima yangu iko kwa LIPUMBA kwa kusimamia DHAMIRA [WILL] na sio MATAMANIO YA VISHIKIKAVYO YANI HUMAN MATERIAL.
Karibu sana baba yetu tunakukubali.
mkuu sana tetty usiseme hivyo lumumba tumejipanga vilivyoo....!
We ----- kweli, lipumba kapigwa hela na ndiyo maana kakimbia na nchi; hiyo ni mbinu ya ccm kutaka kuwadhoofisha ukawa, ila imegonga mwamba, ukawa ni wananchi siyo lipumba
slaa awekwe chini ya uangalizi maalum.haaminiki tena.
Umejipanga kwa PESA za UMMA KUHONGA viongozi wa UPINZANI you are so Stu......!Yaani hamfai hata kidogo.Chezeni mpira with FAIR Ground!!!!!!!Acheni ujinga wa kuhonga viongozi ni aibu kubwa.........Pole haji ng'oooooooooooooooooooo huko haji ,hata mwanangu wa miaka tisa ukimpa hesabu hii anashinda...
Hebu fikiria CDM kaingia FISADI mmoja tu huko kwenu wamebaki mafisadi lukuki,wazee wa madawa ya kulevya,majingili yaani ni aibu kusema,wazee wa ESCROW akiongozwa na Mwenyekigoda..........Bado unawaza eti Dr.Slaa atakuja huko duh!!!!!!!Kama Fisi vile akisubiri mkono wa binadamu udondoke.................Pole sana anaweza kuondoka CDM lakini kuhamia CCM hata mfunge Ramadhani ya Mwaka mzima HAJIIIIIIIIIIIIIIII NG'OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO pesa hizo waoneeni huruma wafanyakazi wa serikalini hawajalipwa....Mmekula imetoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Unajua nyie NYINYIEM ndiyo mliowafanya VIJANA wakubali hata kumpigia Kura Fisadi kwa sababu wamewachokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwaka huuu MKATWEEEEEEEEEEEE TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Kumbe ile ya kupewa kitu ndo chanzo na hivi umri umemtupa aondoke tu alikua hot zamani sio sasahahahahahaha seriously this is so funny..
Have a nice day brother.. PEACE !
kwani bado hajaingia mpka usiku huuHata mimi nilifurahi sana baada ya kusikia kuwa ataingia ofisini,ikiwa ni pamoja na kuendelea kufanya kazi za chama.