Ofisi za Chadema zinafunguliwa SAA ngapi?
Hapa sishangilii kwa nguvu mpka nisikie yupo UFIPA na picha zimepigwa........ila kiukweli moyoni siku imeanza kuwa njema.
Dr Slaa hana mpango wa kurejea CHADEMA
Source: Mimi nimeongea nae
sawa Bi Josephine Mushumbusi,tumekuelewa.Dr Slaa hana mpango wa kurejea CHADEMA
Source: Mimi nimeongea nae
Hata asiporudi chadema na ukawa vitakuwepo tu, maana ukawa ni muunganiko wa watu waliochoshwa na CCM na vitendo vyakeDr Slaa hana mpango wa kurejea CHADEMA
Source: Mimi nimeongea nae