Hii habari ni ya kupuuza tu kwa sababu Raia Tanzania ni gazeti la kipropaganda. Ripoti yoyote ya hili gazeti kuhusu Lowassa (na kwa kiasi kikubwa Cdm) itakuwa negative (hii hali ipo pia katika gazeti la Raia Mwema ukiondoa makala za waandishi huru). Kwa upande mwingine kwa haya magazeti, chama cha ACT na kiongozi wake mkuu (na kwa kiasi fulani CCM) wao ni sawa na malaika na watafagiliwa kwa nguvu zote. Kwani kama kweli Dr Slaa ameondoka Cdm kwa nini asitoke hadharani na kutangaza wazi na badala yake azungumze na hicho kigazeti uchwara mafichoni? In our situation where we have uncensored internet and a multitude of free media such propaganda news sources are irrelevant.