amshukia tena ..tumieni kiswahili vizuri mm nimefungua fasta fasta
Kiwanda kingine cha
Kubangua Korosho alinunua aliewahi kuwa naibu waziri wa fedha awamu
mkapa..Abdisalom Issa Hatibu!!(Mzanzibari) sijajua kama kiwanda
kinafanya kazi au amegeuza ghala kuhifadhia korosho na mazao
mengine!!!!hawa watu wa kusini wanahitaji mkakati maalumu kuwakomboa kwa
kweli!!!wamezaliana sana hakuna cha maana kule ndio maana wanazunguka
na vitu mikononi mijini......hatari sana
Mkuu vipi ulidhani nini?
Afadhali tumekubalika huko kusini tofauti na matarajio ya Ribosome, Ritz na Rejao Chezea CDM na Mtwara Nyinyi!!!!!!!!! Mtwara itakuwa kama Beghazi
Hata Uzini mlisema mmepokelewa kwa mikono miwili na umati mkuubwa wa watu. Mlichoambuli kwenye kura zilizopigwa, kukitaja hapa ni kuendelea kuwafedhehesha!
Mtabadilisha mada sasa hivi. mbona kilichomchanganya Saint Ivuga kiko obvious kabisa,tujadili alichokikuta sasa.