Ni kama baadhi ya ile mikinda ya Gaddafi, siyo tatizo lake huyo Jakubumba, dunia aliyokulia ni tofauti na ya kwako, na hilo litawacost sana ndugu, jamaa na marafiki wa mafisadi kwasababu wako very out of touch, na kwasababu ndiyo hao wanaandaliwa kutuongoza kwa awamu zijazo, basi usishangazwe jinsi akili ya kikinda yenye tope!Ama kweli ma brother jakubumba akili yako ya kufikri ni ndogo zaid ya mbegu ya mchicha,i think u a under 15yrz ni bora kukuchangie hela ununue midoli na mchele ili mcheze vzuri na watoto wenzako
Haya mawazo yako ni duni sana kiasi kwamba ama yanawapandisha watu mizuka au yanawachefua, ni bora uwe unasoma tu comment za watu wenye nazo halafu ukipenda unabofya kile ki like. Hapa watu wanaongelea habari tofauti kabisa na mawazo yako. Maendeleo hayaletwi na wanasiasa wala mtu mmoja mmoja kwa kutoa zawadi ya mbuzi au pesa au kanga, ubwabwa nk. Maendeleo ya nchi ni jukumu la serkali ndo sababu nchi zinaingia gharama kubwa kufanya chaguzi za kupata viongozi wenye uwezo wa kuwaletea maendeleo. Maendeleo ya mtu mmoja mmoja yapo kwenye nchi zinazoitwa failed states (mataifa yaliyoanguka) huko utakuta kila mtu anakisima chake cha maji, anajenereta lake la umeme, ana daktari wake, ana mwalimu wake wa kumfundishia watoto wake, ana mlinzi wake na polisi rafiki yake nk.hayo ni mawazo yangu toa yako, ktk siasa za tanzania usitegemee mwanasiasa alete maendeleo, wote ni wachumia matumbo tu, nimetoa mfano tu kwa dr slaa kuhusu mshahara wake, ila kwa sababu humu watu ni washabiki wa chadema hawakubali kuambiwa ukweli. Chadema wanaongoza majimbo mangapi na wamefanya nini pale? Usikurupuke kunishambulia hata mie haya ni mawazo yangu, toa yako tambaa mbele!
Ni bora kuwa maskini wa .... Kuliko masikini wa akili!Mbona anaongelea mambo yaliyopita au kujirudisha kwenye chati maana ameporomoka kweli kweli.
Ila Slaa nae kazidi kulalamika! Ila yeye mshahara wake amesahau? mbona sijawhi kusikia amesaidia hata mbuzi kwa ajili ya sikukuu kama mzee wa kaya JK? YEYE ZAKE ANAWEKA MFUKONI ANATULIA HALAFU ANAWANYOSHEA WENZIE KIDOLE! SIASA BWANA KAMCHEZO KACHAFU SANA!:lol:
hayo ni mawazo yangu toa yako, ktk siasa za tanzania usitegemee mwanasiasa alete maendeleo, wote ni wachumia matumbo tu, nimetoa mfano tu kwa dr slaa kuhusu mshahara wake, ila kwa sababu humu watu ni washabiki wa chadema hawakubali kuambiwa ukweli. Chadema wanaongoza majimbo mangapi na wamefanya nini pale? Usikurupuke kunishambulia hata mie haya ni mawazo yangu, toa yako tambaa mbele!
wale wale akina kashilila!Ila Slaa nae kazidi kulalamika! Ila yeye mshahara wake amesahau? mbona sijawhi kusikia amesaidia hata mbuzi kwa ajili ya sikukuu kama mzee wa kaya JK? YEYE ZAKE ANAWEKA MFUKONI ANATULIA HALAFU ANAWANYOSHEA WENZIE KIDOLE! SIASA BWANA KAMCHEZO KACHAFU SANA!:lol:
itabidi tuombe kukutana na rais ikulu kama ilivyokuwa kwenye issue ya katiba ili DR naye apate fursa ya kunywa juice ya magogoni
jakubumba ..!!!! Tatizo lako mtu akipinga upuuzi wako unazani ni cdm?! Akili mbovu tu wewe! Mimi hapa nimekuwa mpenzi wa sisiem kwa muda mrefu lakini hali ilivyofikia inakera na kuchosha yaani kwa kifupi sifagilii mienendo ya sisiem kabisa kwa sasa!. Ni ukweli usiopingika kuwa cdm ndicho chama kimeonyesha umakini wa kuisuta serikali kwa mapungufu yanayo onekana...sasa itashangaza mtanzania kama wewe mwenye akili unaona maisha yanazidi kuwa magumu alafu unakandia mtu mwenye hoja za msingi kama dr slaa! Mimi huwa na mashaka kidogo na watu wa namna yako kuwe huwenda hata wewe una faidika na haramu inayochumwa na magamba!
Hee!kwani aChadema wameshaanza kumtambua Dr.JMK as nakumbuka walisema hawamtambui sasa inakuaje anamwita 'RAIS KIKWETE!'
FaizaFoxy;Taja kimoja ambacho Kikwete hajakifanya zaidi ya Rais yeyote wa kabla yeke. Nnakuhakikishia huna.
I'm really dumbfounded with your statement in red. Do you live here in Tanzania or you are somewhere else?
Mijitu mingine bwana mnaongea maneno kama yanatokea kwenye masaburi kwani mshahara wa slaa unatuafect vp sisi wananchi wa kawaida, kwahiyo mbuzi wa sikukuu ndo umeona kitu cha maana sana. watz bwana ndomana tunadanganywa na kofia, kanga na sahani ya ubwabwa.
Yani mtu na akili zako anaongelea mbuzi wa sikukuu wakati maisha yamekuwa magumu kila kitu juu.
Pendekeza ulitaka wamwite nani?
Taja kimoja ambacho Kikwete hajakifanya zaidi ya Rais yeyote wa kabla yeke. Nnakuhakikishia huna.
aliekuwa mgombea urais wa ccm,mwenyekiti wa Taifa wa ccm,aliekuwa mbunge wa chalinze,wazir wa zaman wa mambo ya nje,mwenyekit wa zaman wa AU,Rais wa Tz 2005-2010!,baba ridh, yapo mengi!
Mbona anaongelea mambo yaliyopita au kujirudisha kwenye chati maana ameporomoka kweli kweli.