Bumpkin Billionare
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 1,332
- 621
Usiwe mkali utapata hasara. Ulichoongea sio mawazo bali ni hewa chafu. Nhayo ni mawazo yangu toa yako, ktk siasa za tanzania usitegemee mwanasiasa alete maendeleo, wote ni wachumia matumbo tu, nimetoa mfano tu kwa dr slaa kuhusu mshahara wake, ila kwa sababu humu watu ni washabiki wa chadema hawakubali kuambiwa ukweli. Chadema wanaongoza majimbo mangapi na wamefanya nini pale? Usikurupuke kunishambulia hata mie haya ni mawazo yangu, toa yako tambaa mbele!
Wewe JAKUBUMBA nenda MMU ukajadiliane kule. Zipo mada nyingi tu nzuri za saizi yako:
1. Mpenzi wangu simuelewi
2. Kwa nini wanaume wengi hawajui kukea
3. Hivi mwanaume asipokupa zawadi kilisimasi ni kweli anakupenda?
4. Mpenzi wangu kaniacha je akirudi nimkubalie?
Nafikiri mada za namna hii ndio unaweza kuzijadili kwani ni hisia na sio akili.
Ila Slaa nae kazidi kulalamika! Ila yeye mshahara wake amesahau? mbona sijawhi kusikia amesaidia hata mbuzi kwa ajili ya sikukuu kama mzee wa kaya JK? YEYE ZAKE ANAWEKA MFUKONI ANATULIA HALAFU ANAWANYOSHEA WENZIE KIDOLE! SIASA BWANA KAMCHEZO KACHAFU SANA!:lol:

Nakukubali sana DR na ndio maana unamkubali EL kuwa ni mtendaji.
Tatizo lako hata kufanya analysis hujui. Jk hutumia pesa za Ikulu kuwapa watu mbuzi ya sikukuu sio kutoka kwenye mfuko wake. Mshahara wa slaa inahusikaja na Tathmini ya chama kwa mwaka. Fool people will always remain fool even if they are educated.Ila Slaa nae kazidi kulalamika! Ila yeye mshahara wake amesahau? mbona sijawhi kusikia amesaidia hata mbuzi kwa ajili ya sikukuu kama mzee wa kaya JK? YEYE ZAKE ANAWEKA MFUKONI ANATULIA HALAFU ANAWANYOSHEA WENZIE KIDOLE! SIASA BWANA KAMCHEZO KACHAFU SANA!:lol:
ukiona watu wazima wanadiscuss issue za nchi basi wahi ukalale usije ukachelewa kesho shule.Ila Slaa nae kazidi kulalamika! Ila yeye mshahara wake amesahau? mbona sijawhi kusikia amesaidia hata mbuzi kwa ajili ya sikukuu kama mzee wa kaya JK? YEYE ZAKE ANAWEKA MFUKONI ANATULIA HALAFU ANAWANYOSHEA WENZIE KIDOLE! SIASA BWANA KAMCHEZO KACHAFU SANA!:lol:
wewe lazima utakuwa uko bleed aka period huwezi ongelea pumba kama hizo kwenye hoja ya msingi ya dr slaa go to hell maza kafaIla Slaa nae kazidi kulalamika! Ila yeye mshahara wake amesahau? mbona sijawhi kusikia amesaidia hata mbuzi kwa ajili ya sikukuu kama mzee wa kaya JK? YEYE ZAKE ANAWEKA MFUKONI ANATULIA HALAFU ANAWANYOSHEA WENZIE KIDOLE! SIASA BWANA KAMCHEZO KACHAFU SANA!:lol: