kalulukalunde
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,056
- 1,083
Maoni yangu
Kubadili gia angani kwa Mbowe kumewamaliza kabisa nguvu na kuwavunja moyo wapambanaji wa vita dhidi ya ufisadi. Mbowe awaombe radhi wanachama wa CHADEMA katika hili ili kunusuru chama kuja kufa kibudu 2020.