Dk. Slaa aibuka na Nyaraka za SIRI

Hivi nchi hii haina wanaharakati wa wanyama, mbona siwasikii wakilaani ukatili wa wanyama?
 
Dr. amalize udhia kwa kufunguka na kuwataja bila kumung'unya maneno au kupepesa macho. Aseme kama Lissu alivyoshuka na data kwenye utetezi juu ya majaji.
 
Gamba hili.
 
Atawpata watu wa vijijini tuu kwa stori za kubuni town tulishamshtukia huyu fake pastor sijui kwann hawauzii hizo script kina ray watengenezee muvi
 

safi sana kaka gwali, mpanue fikra huyo kijana. Ahadi za vyeo vya ukuu wa wilaya ndo zinawatia giza vijana!
 

Mkuu, usiwe na majibu ya jumla jumla. Kwako wewe mfaidika Dr. atakuwa amesema uongo. Ila kwetu sisi wanyonge hakuwahi kusema uongo hata mara moja. Huwa mnakana mpaka tone la mwisho.

Unataka kusema hao faru hawakuuwawa??
Kama hawajauwawa utakuwa uko sahihi, ila kama wameuwawa- lazima kuna watu wamehusika na hawajatoka nje ya nchi. Dr. ana nyaraka na ataziweka hewani/public akishajirithisha kuwa ushahidi upo safe.
 
Mkuu-hembu tafadhali tumia busara na akili ndogo tu kwa kuangalia hiyo ID name (Ritz) halafu angalia na hiyo avatari yake/image-(sura ya gamba). Haupati taswira tu huyo ni nani?? Hauoni hata michango yake kama ni mfuatiliaji kuwa huyo ni fisadi mtoto aliyekomaa haraka haraka kama kuku wa kizungu wa nyama baada ya familia yake kutamia mayai ya ufisadi kwa hiyo wanayalinda na kuyatetea kwani ndio matunda yao na washirika wao??

KAMA AWAMU YA TATU WALIKULA,BASI AWAMU YA NNE WAMEKOMBA TENA KWA MIKONO MICHAFU NA HATA KWA MIGUU NA BADO WANASHINDANA KWA URAFI!!!
 
UJASIRI ULE ULE, NGUVU ILE ILE!.. Hatimaye tutashinda vita ya ufisadi!.
 
Nilipomwona DR. Slaa, akiwa na TUNDU LISU mwembe Yanga akizungumzia WIZI wa EPA - niliona meseji ni STRONG!.. Kazi yetu iwe ni kuwaunga mkono!.. Vinginevyo tutapoteza raslimali zetu na "Majambazi" yatatutangazia kwamba hatunao kwa ugonjwa wa moyo!.. KELELE ZETU NI ULINZI TOSHA KWAO!.
 
Wewe kweli osokoni Mbowe anavyompa JK mkono au siku ile Chadema walivyokwenda Ikulu wote walikuwa wanampa mkono JK walikuwa wanashukuru nini? Vipi zile kontena zipo wapi?[/QUOTE]

Offcourse mimi Osokoni mtafute mmasai akuambia maana ya hilo jina! mtu anaweza kukupa mkono kama kuku abuse tu lakini Dr. Slaa alimtaja Vasco miongoni mwa wale Mafisadi 11 list of shame na hadi leo jk hakuwa kukanusha,. Slaa haongei kwa kukurupuka kama Nape au magamba wenzio!
 
Wewe kweli osokoni Mbowe anavyompa JK mkono au siku ile Chadema walivyokwenda Ikulu wote walikuwa wanampa mkono JK walikuwa wanashukuru nini? Vipi zile kontena zipo wapi?

Offcourse mimi Osokoni mtafute mmasai akuambia maana ya hilo jina! mtu anaweza kukupa mkono kama kuku abuse tu lakini Dr. Slaa alimtaja Vasco miongoni mwa wale Mafisadi 11 list of shame na hadi leo jk hakuwa kukanusha,. Slaa haongei kwa kukurupuka kama Nape au magamba wenzio![/QUOTE]

Rais wetu ana mambo ya msingi ya kufanya kuwatumikia wananchi hana muda wa kujibu kila upuuzi...wkt mwingine kukaa kimya ni jibu kwa mjinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…