sir.JAPHET
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 699
- 137
Dr. Kaibuka upya! Angekua mto tungesema kwa kizungu ( river rejuvination)
haha sasa gamba linawasha au linachoma? subiri kaa mkao wa kula safari hii mtachekea bafuni! Doctor huwa hana papara kwani alipotaja ile list of shame ya mafisadi pale mwembe yanga nani alikanusha??Msigwa kasema Kagasheki alitia aibu kwenda kupokea faru toka uingereza wakati faru wapo hapa kagasheki kasema hajawahi kupokea faru Msigwa kamwaga picha kagasheki anashikana mkono na balozi mzungu kushukuru CDM we acha tuuu!!Dr Slaa ebu wataje hao vigogo tuwajue sio tu kusema unazo nyaraka za siri Dr Slaa, ulishawai kutuambia kuwa kuna umekamata kontena mbili umezikamata Tunduma zimejaa karatasi za kupigia kura kutoka China zilipolikuja kufunguliwa na polisi mbele ya viongozi wa Chadema wakakuta vipodozi Dr Slaa akawakimbia waandishi wa habari...tumeishakuzoea.