Dk. Shein aongoza Bonaza la Matembezi ya Wanamichezo wa Zanzibar Uwanja wa Amaan Zanzibar

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
IMG_2611.JPG

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akishiriki katika Matembezi ya Bonaza la Wanamichezo wa Zanzibar akiongoza matembezi hayo yalioazia katika viwanja vya Matumbnaku Miembeni na kumalizia katika viwanja vya Amaan Zanzibar kutoka kulia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Abdalla Mwinyi Khamis, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar Bi Shariff Khamis Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Mwenyekiti wa Umoja Mazoezi Zidi , Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe Bihindi Hamad, Waziri wa Kilimo na Mali Asili Mhe Sira Ubwa Mwaboya na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B Ayoub Mohammed Mahmoud.
IMG_2622.JPG

IMG_2647.JPG

IMG_2673.JPG

IMG_2678.JPG

IMG_2681.JPG

IMG_2688.JPG

IMG_2696.JPG

IMG_2656.JPG

IMG_2661.JPG

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipokea matembezi ya Wanamichezo mbalimbali walioshiriki matembezi hayo ya Kitaifa ya Bonaza la Michezo Zanzibar yaliowashirikisha Wanamichezo kutoka Ungua Pemba na Dar es Salaam wakiingia katika viwanja vya Amaan kumalizia matembezi hayo na kumalizia katika viwanja vya Amaan Zanzibar kwa ajili ya mazoezi ya viungo.

Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot.
Zanzinews.com
 
Huyo Dr Shein ameongoza matembezi kwa wadhifa upi?
Kwa kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, Urais wake wa Zanzibar ulikoma tarehe 2/11/2015.
Mleta mada ungekuwa umeitendea haki Katiba ya Zanzibar, kama ungemtaja Dr Shein kwa wadhifa wa Rais mstaafu wa Zanzibar.
 
kama dk. shein rais mstaafu rais wa sasa wa zanzibar ni nani? mleta mada yupo sahihi kwa kuwa tume ya uchaguzi hamjatangaza rais wa Znz na imefuta matokeo yote ya awali ya uchaguzi huo, kwa hiyo shein atabaki kuwa rais mpaka utakapofanyika uchaguzi mpya.
 
Hivi mathalani ikitokea huo wa uchaguzi wa marudio akashinda tena Maalim Seif na wao CCM wakaamua kuufuta tena.
Ukaandaliwa uchaguzi mwingine napo pia Maalim Seif akashinda tena na chaguzi zingine zitakazoandaliwa kwa staili hiyo kwa miaka 10 ijayo, hivi katika mazingira hayo bado tu nyiye maccm mtaendelea kudai kuwa Dr Shein atakuwa anaendelea kutawala kihalali kwa kuwa kuna Ibara ndani ya Katiba ya Zanzibar inayosema ukomo wa Urais wa Dr Shein ni hadi pale atakapoapishwa Rais mwingine?!
Ukweli wa dhahiri unaotokana na mkwamo wa kisiasa huko Zanzibar ambao watu wengi hawataki kuueleza, unatokana na slogan ya maccm kuwa visiwa hivyo vya Zanzibar kamwe havitakuja kutolewa kwa vijikaratasi vya kupigia kura!
 
Back
Top Bottom