Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 10,258
- 14,106
Dodoma. Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, amekutana na wakati mgumu bungeni baada ya kubanwa na Waziri wa zamani wa wizara hiyo, Omary Nundu, aliyetaka kujua sababu za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kupokonywa karakana yake ya matengenezo ya ndege iliyojengwa Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (Kia).
Habari kamili shuka nayo link hapo chini.
SOURCE:Gazeti la Mwananchi
Dk Mwakyembe, Nundu wachuana bungeni - Siasa - mwananchi.co.tz
Habari kamili shuka nayo link hapo chini.
SOURCE:Gazeti la Mwananchi
Dk Mwakyembe, Nundu wachuana bungeni - Siasa - mwananchi.co.tz