- Thread starter
- #21
Kimsingi nilishuka na hapa nimetoa taarifa kwenye mamlaka....ulimwengu wa sasa kuna namna nyingi ya kuwafikia mamlaka...hii habari watu wa Mawasiliano serikalini kwenye mamlaka husika wamepata hii taarifa through this site mkuuMkuu wewe kama mpenda mabadiliko na maendeleo ulichukua hatua gani au ulichoweza kufanya nikuja kuweka bandiko hapa?? Nilitegemea ungekuwa wa kwanza kushuka kwenye tren hiyo kupinga hali uliyoiona au kutoa taarifa kwa mamlaka husika...