Dk. Mwakyembe atoa misaada ya milioni 40/- jimboni

Dk. Mwakyembe atoa misaada ya milioni 40/- jimboni

Ignorance ni tatizo kubwa kwa wana jamii wengi hasa katika mambo ya kisiasa ! Je usafi wa ndan inabid aje mbunge akuambie uoge! Ufue nguo unaelewa maana ya mgawanyiko wa kaz na majukumu ya viongoz mbalimbali
 
Walopokaji ni jangwa la taifa? Inabid uonge ukwel hata ukitaka kudanganya jua ukwel upo siku zote tena hauwez kuchanganywa na uongo#fact ni kwamba inabid watanzania wapewe elimu tena ya kisiasa wapate kujua hak zao na wajibu wao
 
Tulimwambia si tunataka bodaboda, kama we hujui mahitaji ya wanakyela na haupo kyela kaa kimya acha kimbelembele kwani we ni sekretari wake,. Kyela hawamtaki mwakyembe hutaki jiue

Sema ww humtaki kwa interest zako, na bodaboda ni mahitaji ya wengine sio yko. Ww sio msemaji wa wanakyela na inaonekana unamgombea wako wa cdm. Pole sn!bdo uko gizani
 
Km ni cdm damu na nipo imara kwa chochote lkn huyu jamaa wamuache na ikiwezekana 2015 cdm wasiweke mgombea jimboni kwake kiutaifa ZAIDI!!!!!
 
Mkuu pale kyela huyu ni janga wanakyela kipindupindu hakiishi huyu jamaa kashindwa waletea pimp ya maji tu isukume mabomba yaanze toa maji safi ye anareta bodaboda aache kutafta umarufu wa bule
Km ni cdm damu na nipo imara kwa chochote lkn huyu jamaa wamuache na ikiwezekana 2015 cdm wasiweke mgombea jimboni kwake kiutaifa ZAIDI!!!!!
 
Shasema kaa kimya hujui lolote kuhusu kyela mchumia tumbo wewe, huyo mwakyembe wako hana mvuto tena kyela
Sema ww humtaki kwa interest zako, na bodaboda ni mahitaji ya wengine sio yko. Ww sio msemaji wa wanakyela na inaonekana unamgombea wako wa cdm. Pole sn!bdo uko gizani
 
Ninyi watu waajabu sn, mtu analeta maendeleo ww unahoji anatoa wapi. Km unatia shaka nenda mahakamani, pia ni changamoto kwa mb wako toka umemchagua kafanya nn. Acha kubeza wa wenzio

Akitoa Lowassa misaada mnalalama kuwa hizo pesa katoa wapi lakini hawa mafisadi wengine wakina Mwakyembe mnasema wanaleta maendeleo!! Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha........
 
Back
Top Bottom