esitena tetena
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 1,747
- 1,082
Hapa kazi tu!
Anaomba radhi kwa lipi wakati ilani ilyopita wametekeleza kwa asilimia 95 na kuhusu mchwa mbona walisema ni propaganda za upinzani acha tukutane oct 25
Adhabu ni palepale
Magufuli amesahau Kuwa yeye bado ni waziri ndani ya serikali,ccm janga kubwa sanaSwali kwa magufuli?mh:magufuli umesema hapa tulipo tumefika hapa kwa sababu ya mchwa waliopo serekalini je kwanini ulikuwa hamshauri rais kikwete awachukulie hatua hao mchwa?
Swali no mbili
Kwani wasichukuliwe hatua kipindi hiki cha kampeni ili tuzidishe imani na wewe?
kilichofanywa na Lowasa toward kuondoa umasikini kinaonekana,idea ya shule za kata kama ingeendelezwa vizuri ilikuwa inalenga kutoa fursa nyingi za watu kupata elimu na hivyo Kuwa na uwezo zaidi katika kupambana na umasikiniPia uwaulize SUMAYE na LOWASA walikua mawaziri wakuu walimshauri nini raisi ikiwa wao wanauchukia sana umaskini
Swali kwa magufuli?mh:magufuli umesema hapa tulipo tumefika hapa kwa sababu ya mchwa waliopo serekalini je kwanini ulikuwa hamshauri rais kikwete awachukulie hatua hao mchwa?
Swali no mbili
Kwani wasichukuliwe hatua kipindi hiki cha kampeni ili tuzidishe imani na wewe?
Pia uwaulize SUMAYE na LOWASA walikua mawaziri wakuu walimshauri nini raisi ikiwa wao wanauchukia sana umaskini
Hahahaha! Sipatii picha hasira uliyo nayo!
jaribu kuwa na huruma.
acha maamuzi ya hasira mkuu, tuwajaribu kwa mara ya mwisho, wamekuwa waungwana sana kukili mapungufu, heri yao kuliko yule mwingine yeye kakataa kata kata kuomba msamaha na kukiri makosa juu ya Richmond, tuwahurumie tu ndugu yangu.
MTAKOMA ukawa MMEPATA MTU KIGEUGEUUU ANAYEANGALI DINI......... MTU KAMA UYUUUU KAMWE IKULU ATAISOMA NAMBA KISHA ABANDUEE