Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
- Thread starter
- #21
akili matope za lumumba n majanga.
haXkutoshi kenge wew
MCHUMIPESA mbona umejaa upepo? matusi ya nini? Komaa na mada siyo matusi hapa.
akili matope za lumumba n majanga.
haXkutoshi kenge wew
Wewe piga kura kumchagua Rais wako wa Awamu ya Tano. ID imeingiaje hapa?
Ni kweli anatosha, lakini ni kwa nini ID mpya zimeongezeka sana mwaka huu, ni wale wale mmekuja kwa ID nyingine au kweli nyie mmejiunga upya mwaka huu.
Labda umchague wewe kuwa mwenyekiti wako wa serikali ya mtaa!
Rais wa Kuwait ni Lowassa ndiye alisubiri sana kugombea urais baada ya jina lake kukatwa mwaka 1995 na 2015. Kwa hiyo alisubiri. He waited ndo mana akawa rais wa Kuwait.Raisi wa Kuwait ni nani kweli !!bahati nzuri anagombea Tanzania ingekuwa anagombea Usa ndio ungekuwa mwisho wake maana Us kama hujui foreign Policy kama rafiki yangu mr kidevu ,nobody will vote for you...CCM OUT
Rais wa Kuwait ni Lowassa ndiye alisubiri sana kugombea urais baada ya jina lake kukatwa mwaka 1995 na 2015. Kwa hiyo alisubiri. He waited ndo mana akawa rais wa Kuwait.
Dr Magufuli anamtosha mkeo labda..
ila kwa walio wengi.....ni mabalikooooo.na mabadiliko LOWASA
Toka wewe achana na matusi. Inabidi utulize akili zako umpigie kura Magufuli. Lowassa kachoka saana hata yeye anajua hilo anachofanya ni kuikomoa ccm iliyemkata.anatosha kwa mamaaako
lowassa n rais wako kenge ww
Akafanye nini kwenye mtaa? Huyo ni wa Kitaifa, mtaa siyo level yake ndg Horseshoe Arch.
Basi kanywe naye chai!
Halafu kwanini hamjishangai kwamba mnaompigia debe ni mliojiunga juzi juzi JF?