Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
Mchango wa Dkt. Magufuli kwa taifa ameudhihirishia Umma wa Watanzania kuwa ni kiongozi mchapa kazi kwa nafasi aliyoitumikia kama Waziri. Nafasi anayowaomba Watanzania kwa sasa ni ya Urais. Na mara zote ameendelea kusisitiza kuwa YEYE anatosha. Na kweli anatosha. Jitokeze Oktoba 25 mwaka huu umchague Magufuli awe Rais wako wa Awamu ya Tano. Tanzania Hoyeeeeeeeeeee!