Dk. Kitila Mkumbo atoe maelezo kuhusu ACT

Dk. Kitila Mkumbo atoe maelezo kuhusu ACT

Wanajiita ACT - Tanzania, je kuna ACT nchi nyingine mfano ACT - Ghana au ACT - Zimbabwe? Mimi naona kama vile hawajajipanga ni kama wameanzisha kwa hasira dhidi ya CDM. Hata vision na mission zao hazijulikani isipokuwa wanategemea personalities kama za ZZK na Dr. Kitila. Watavuma na kupotea kama TLP

lengo lao kubwa lilikuwa kupindua uongozi wa cdm , baada ya kufumaniwa na kufurumushwa , ndio wakakurupukia huku ! Na ndio maana chama chao kimekufa kabla ya kuanza , HAWAKUWA NA MZUKA WA KUANZISHA CHAMA AKILI YAO ILIKUWA IMEJAA MAPINDUZI TU .
 
Hiki ni chama cha humu mtandaoni tu. Huko mitaani hakuna mtu anakijua. Ndio maana ripoti zao zote wanazileta humu JF kwakuwa hawana wanachama wa kuwasomea.
 
Back
Top Bottom