Dk. Kitila Mkumbo atoe maelezo kuhusu ACT

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
ACT ni chama kipya na kina mengi sasa yamejitokeza
mengi kiasi ni ngumu hata kujua yapi ya ukweli na yapi si ya kweli

nikikitazama hiki chama naamini kama kuna mtu ambae ana command respect
hata kwa watu independent na ambae akizungumza sauti yake itakuwa na nguvu
basi ni Dk Kitila Mkumbo.....naamini tupo wengi wenye maswali na chama hiki kipya
na future yake na malengo yake....

Binafsi sioni why huyu Kitila asiwe yeye mwenyekiti ili angalau lolote litakalotokea
tuamini sio bahati mbaya bali ni mkakati wa chama hiki

muhimu zaidi Kitila naamini ndie 'mshauri mkuu' wa chama hiki kwa sasa atujibu maswali kama haya

1. je ni lazima ACT wawe na uhasama na CHADEMA?

2. je ACT wanachukua hatua gani kuondoa uhasama na uadui unaojitokeza kati yao na CHADEMA?

3.Nini hasa mipango ya chama chao after 2015?

4. je ACT kinaweza kuwa chama cha kisiasa bila Zitto?

5. na kama ni hivyo je hawaoni athari za kujenga chama kwa kutegemea personality ya mtu mmoja au watu wachache?

6. mustakabali wa Taifa wao wanauchukuliaje? na maswali mengineyo.....
 
unataka kujua nini , na ushahidi usio na shaka umeonyesha majina yote ma 3 ya aliyewanunua na kuwalipa ?
 
Mkuu mbona unataka kujiwekea mipaka ya kisiasa?
ACT kama ni chama hakiwezi kua na uhusiano wowote na CHADEMA au chama chochote, wewe una hiari ya kufuata mtu nje ya CHADEMA au kufuata itikadi nje ya CHADEMA.

Nyie wa CHADEMA mna udhaifu mkubwa wa kufuata mtu badala ya itikadi.
 
Maswali yako ni magumu sana kwa Dr Kitila Mtumbo , ila kuhusu yeye kuwa Mwenyekiti sahau kwani akiwa Malaysia ,Zitto aliwaajulisha wajumbe wa kamati ya PAC kuwa Mwenyekiti wa ACT anategemewa kuwa Prof. .........nasubiria video ili niweke hadhara ni .......japo huyo Prof, amekanusha vikali sana taarifa za Zitto na kusema labda ni mkakati wake wa kuhadaa hao wabunge ili wasione ACT kuwa ni serious
 
unataka kujua nini , na ushahidi usio na shaka umeonyesha majina yote ma 3 ya aliyewanunua na kuwalipa ?

unaelewa maana ya 'benefits of the doubt' ?
kwenye siasa muhimu mtu usikie kauli ya mtu mwenyewe
kuliko kusema tu fulani alisema
 
Kitila na wenzake wana Tamaa sana , wanataka kuila keki na wakati huo huo wabaki nayo.......so hawezi kukubali ama kukanusha lolote lile .........
 
akatae au kukubali chochote itakuwa ndio maelezo on the records...
kinachotakiwa hapa ni 'maneno' direct from him
 
ntasubiri hiyo siku atathubutu kufungua mdomo kujibu hayo
 
ACT ni chama kipya na kina mengi sasa yamejitokeza
mengi kiasi ni ngumu hata kujua yapi ya ukweli na yapi si ya kweli

nikikitazama hiki chama naamini kama kuna mtu ambae ana command respect
hata kwa watu independent na ambae akizungumza sauti yake itakuwa na nguvu
basi ni Dk Kitila Mkumbo.....naamini tupo wengi wenye maswali na chama hiki kipya
na future yake na malengo yake....

Binafsi sioni why huyu Kitila asiwe yeye mwenyekiti ili angalau lolote litakalotokea
tuamini sio bahati mbaya bali ni mkakati wa chama hiki

muhimu zaidi Kitila naamini ndie 'mshauri mkuu' wa chama hiki kwa sasa atujibu maswali kama haya

1. je ni lazima ACT wawe na uhasama na CHADEMA?

2. je ACT wanachukua hatua gani kuondoa uhasama na uadui unaojitokeza kati yao na CHADEMA?

3.Nini hasa mipango ya chama chao after 2015?

4. je ACT kinaweza kuwa chama cha kisiasa bila Zitto?

5. na kama ni hivyo je hawaoni athari za kujenga chama kwa kutegemea personality ya mtu mmoja au watu wachache?

6. mustakabali wa Taifa wao wanauchukuliaje? na maswali mengineyo.....

Wanajiita ACT - Tanzania, je kuna ACT nchi nyingine mfano ACT - Ghana au ACT - Zimbabwe? Mimi naona kama vile hawajajipanga ni kama wameanzisha kwa hasira dhidi ya CDM. Hata vision na mission zao hazijulikani isipokuwa wanategemea personalities kama za ZZK na Dr. Kitila. Watavuma na kupotea kama TLP
 
7. Je membersihp recruitment startegy yao ipoje? chadema ndo source yao?
 
Wanajiita ACT - Tanzania, je kuna ACT nchi nyingine mfano ACT - Ghana au ACT - Zimbabwe? Mimi naona kama vile hawajajipanga ni kama wameanzisha kwa hasira dhidi ya CDM. Hata vision na mission zao hazijulikani isipokuwa wanategemea personalities kama za ZZK na Dr. Kitila. Watavuma na kupotea kama TLP

Iliuishi maisha marefu ni lazima
Uwena akili ya kufikiri
Uwe na akili ya kuwaza
Uwe na akili kusikiya kitu na ww ukakitasmini je ni kweli?
Uweze kujitasmini
Uwe na akili kutokutumiwa kama mty aliye kunywa viroba

Sifa hizi ukiwanazo ndio utasema kweli ww binadamu
Wafwasi wengi wa cdm hawana sifa hizi
Kwa hiyo wamepungukiwa na akili zilizo tajwa hapo juu
Ndio mana hawaishi kuropoka hovyo na kila wakisikia tu hawatasmini tena ni kuropoka tu
 
Na wewe hapa unaropoka. Badala ya kujibu maswali au hoja unajifanya mwanafilosofia. Fallacy!
 
ACT ni chama kipya na kina mengi sasa yamejitokeza
mengi kiasi ni ngumu hata kujua yapi ya ukweli na yapi si ya kweli

nikikitazama hiki chama naamini kama kuna mtu ambae ana command respect
hata kwa watu independent na ambae akizungumza sauti yake itakuwa na nguvu
basi ni Dk Kitila Mkumbo.....naamini tupo wengi wenye maswali na chama hiki kipya
na future yake na malengo yake....

Binafsi sioni why huyu Kitila asiwe yeye mwenyekiti ili angalau lolote litakalotokea
tuamini sio bahati mbaya bali ni mkakati wa chama hiki

muhimu zaidi Kitila naamini ndie 'mshauri mkuu' wa chama hiki kwa sasa atujibu maswali kama haya

1. je ni lazima ACT wawe na uhasama na CHADEMA?

2. je ACT wanachukua hatua gani kuondoa uhasama na uadui unaojitokeza kati yao na CHADEMA?

3.Nini hasa mipango ya chama chao after 2015?

4. je ACT kinaweza kuwa chama cha kisiasa bila Zitto?

5. na kama ni hivyo je hawaoni athari za kujenga chama kwa kutegemea personality ya mtu mmoja au watu wachache?

6. mustakabali wa Taifa wao wanauchukuliaje? na maswali mengineyo.....

please do not lose your focus,, naona sasa mmekua moved na act,,,, mkifanya mchezo 2015 mtapa kura 10000 nchi nzima watu wamechoka confrontentional zisizo na maana ,, tunataka mtwambie utofauti wenu na ccm kutulenga masikini wakulima wa kakao, korosho. tumbaku, kahawa,, machinga
 
Tumedadisi na kuambiwa tusubiri grand inauguration jangwani mwezi wa 9. waalikwa Julius Malema na yule rais mstaafu wa Malaysia aliyebadilisha uchumi wa nchi yake. Eti ndiyo zito Kabwe pamoja na wabunge kadhaa wa CDM watabwaga manyanga na kujiunga rasmi CDM. The BOSS Yote haya ni majungu kwasababu wenyewe hawajajitokeza hadharani. Naunga mkono hoja yako lazima wenyewe wasikike wakisema kwa midomo yao. Facebook na humu JF wanaweza sema Password zao ziliibiwa.
 
Back
Top Bottom