Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

Lakin sidhani kama Prof.Kitila ana tatizo katika hili.
Ishu kubwa hapa ni je wewe unaamini kipi ama nini?
Sote tukiwaza kama wewe itakuwa shida hapa duniani.
 

Kwani unadhan chama kuanzishwa na kuchukua nchi inahitaji miaka mingapi?hakuna kanuni kama hiyo.Chama cha TNA cha Uhuru Kenyatta na URP cha Willima Rutto vilianzishwa chini ya mwaka mmoja na vikachukua nchi na vilianzishwa wakati waanzilishi wenyewe wakiwa kweny vyama vyao vingine.

Wamejiunga kwenye vyama hivyo rasmi chini ya miezi 4 tu; kimsingi CCM haiwezi kutoka madarakani mwaka huu bila kutolewa na CCM yenyewe.Kama kuna chama kitaweza kuimega CCM katikati kuelekea uchaguzi huu tukawa hatuna tena CCM moja bali CCM mbili au zaidi, hii pekee ndio njia ya kuitoa CCM mwaka huu.

Tubiri baada ya bunge kuvunjwa na mgombea urasi wa CCM kupatikana then tutaona kama CCM itastahimili hilo, ikibaki kuwa moja basi vyama vya upinzani vitaenda kwenye uchaguzi kutafyta wabunge na kujipanga kwa ajilo ya 2020.
 
professor kitila ni jembe ulaya

Jembe la kuchimbia choo labda..Hamumjui Kitila...ana tuhuma nzito za human trafficking na abuse.alichukua house girl singida akampeleka UK kakaa naye miaka 3 bila kumlipa mshahara mpaka mamlaka za UK zikaingilia..kama anabisha aje hapa abishe tumvue nguo...hamumjui mtu huyu kaeni kimya..wakati yuko mkwawa anafundisha kwa vitendo alikuwa anafundisha Biology vijana wa form 5 akaishia kuwa anabandua wanafunzi mmoja wapo ni Latifa alikuwa anasoma B4 ...isitoshe akawachanganya Latifa na rafiki yake Mwanamkasi wa B1.. kitila ni tatizooo na sheeedaaa
 

B4 na B1 ,nn hzo
 
Sasa sheria ya ajira inasemaje hapo? Alipokuwa CDM si alivuliwa na kusimamishwa kazi kwa kuwa.mtumishi huku mwanasiasa tena wa Upinzani, huko ACT inakuwaje? Jamani tuwaogope kama ukoma wasaliti hawa wa upinzani nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…