hindikwetu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 251
- 86
Ametutwa kazi kwa kashfa....hilo ndilo nalijua labda kama kuna lugha ya heshima zaidi
tatizo ni check and balance. Hosea hana kosa, shida ni kibohoyo DPP NDIE AFUKUZWE PIA DPP OFFICE IFUTWE. PCCB IPEWE MENO ZAIDI.
umenena vizuri, maana JK alikuwa anakalia mafaili mengi ya ki-uchunguzi, orodha ya wala rushwa, anayo, majangili anayo, madawa ya kwelivya ambamo alikuwepo pia wabunge waliotajwa kwenye barua kutoka hongkong nayo. majina ya boto za znzibar kuvusha magendo kupitia mbweni anayomgt software,
..mapambano ya Rushwa Tanzania yanategemea kwa kiasi kubwa utashi wa Raisi aliyeko madarakani.
..kama Magufuli atakuwa committed kupambana na rushwa basi tutaona pccb inayofanya kazi yake kwa uadilifu na weledi.
umenena vizuri, maana JK alikuwa anakalia mafaili mengi ya ki-uchunguzi, orodha ya wala rushwa, anayo, majangili anayo, madawa ya kwelivya ambamo alikuwepo pia wabunge waliotajwa kwenye barua kutoka hongkong nayo. majina ya boto za znzibar kuvusha magendo kupitia mbweni anayo
Tatizo la watu kama wewe mmekariri kauli za wanasiasa bila hata kushughurisha fikra zenu. Nani alikuambia Katiba mpya ni mwarobaini wa rushwa katika nchi.Marekebisho ya mfumo mzima na katiba mpya bila kupatikana hapa tunapiga maktaim huku tumesimama. Bila kutenganisha majukumu ya utumishi wa umma na Chama. Hata magufuli atahangaika na atagonga mwamba.
Kwa kukusaidia zaidi,
Last week, Kenya?s highly respected auditor general, Edward Ouko, released an annual audit of government accounts. An uproar immediately followed as the scale of mismanagement of public funds became clear. Only 1.2% of the country?s 2013-14 $10bn (?6.4bn) budget was correctly accounted for. About $600m could not be accounted for at all.
The regime of President Uhuru Kenyatta has allowed the most permissive environment for corruption in Kenya?s history. Following the report?s publication, observers were soon speculating about the possibility that a considerable chunk of the missing funds had been pocketed. This is partly because the economy has grown and there is more to ?eat?, as corruption is called in Kenya. More eating is being done than at any time since we started trying to measure graft in the 1990s.
Indeed, corruption has become the most talked about malaise in the country, with weekly headlines about new scandals. Kenya has continued to slide down Transparency International?s corruption perception ndex . On 3 August, Kenya?s chief justice Willy Mutunga sounded the alarm that corruption was creeping back into the judiciary as well ? the first time the highly respected official has made such a claim publicly.
Rais Magufuli ana kazi kubwa sana...bandari bubu zinazoingiza magendo toka Znz kuja Tgk ni tobo kubwa mno la mapato.
..Magufuli anatakiwa athibiti ukanda wote wa bahari yetu kuna magendo na ufisadi mkubwa eneo hilo.
cc MsemajiUkweli, Nyenyere
Mkuu well said. Halafu kuna utoroshaji mkubwa wa fedha kupitia speed boat. Rais akisimama vizuri, ndani ya miezi michache tu ataishangaza dunia. Tumechoka na misaada ya shikamoo mzee..bandari bubu zinazoingiza magendo toka Znz kuja Tgk ni tobo kubwa mno la mapato.
..Magufuli anatakiwa athibiti ukanda wote wa bahari yetu kuna magendo na ufisadi mkubwa eneo hilo.
cc MsemajiUkweli, Nyenyere