Hujakosea.Ni kweli kabisa.Na ndio lilikuwa lengo kuu la Yesu kufa msalabani.Kwa ajili ya uuaji wetu,uchawi n.k Yesu alikuja kutukomboa.Yalishawahi kusemwa kuwa kila aliyejifanya kuokoka ni lazima alikuwa mtenda maovu makubwa na kukimbilia kanisani kuficha machafu yake,haya oneni wenyewe!
Thats my girl! kwani kusingekuwa na dhambi, Yesu asingekufa msalabani.Hujakosea.Ni kweli kabisa.Na ndio lilikuwa lengo kuu la Yesu kufa msalabani.Kwa ajili ya uuaji wetu,uchawi n.k Yesu alikuja kutukomboa.
Yesu mwenyewe alisema" .......wenye afya hawamuhitaji Daktari ,bali ni walio wagonjwa.Sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu......."
Makanisa mengi ya kileo yamekaa kibiashara zaidi!!! Wanatumia nguvu za jiza katika kazi zao, wengi wao. Wengine wanahitajika kila baada ya muda fulani kwenda Nigeria kujiimarisha!!! Tunayumbishwa kiimani sana, tuwe makini mno.
Matapeli wameshajua kuwa ukiwa na biashara ya kanisa na ukiwa ma kichwa kizuri cha kushika mistari ya biblia na kuonisha na shida za watu halafu ukaongezea na ufundi wa Kalimanjila basi ubillionaire umeupata!!! Muda si muda tutakuona unatanua barabarani na Harrier, Hammer, BMW, Rangerover, you name all posh cars!!! Tusidanganyike.
ila sasa asije akaendeleza kale kamchezo atakapokuwa anatoaushauri kwa wanakondoo kwani mazingira ni yale yale kama dr angejituliza kwanza mbona fasta uchungaji
Inabidi fasta fasta akasaidie wajane. Biblia ina wajane inawaita wajane kweli kweli. Halafu kuna wajane wengineo hawa wazidiwao na tamaa, wanahitaji maombi maalum ya ki-pastor zaidi.
Msifute matendo yake fuateni maneno yake
Mama mia kumradhi,mchungaji huyo akikuita uende peke yako kwa maombezi special ya mkesha kufuatana na maono aliyopewa utaenda?
Ni kweli kabisa dada/kaka yetu... Yesu hakuteswa kwa ajili ya waliokwisha uona ufalme; lakini nadhani tuangalie pia maana thabiti ya haki na nafasi ya nyumba ya mungu kwenye matukio hayaHujakosea.Ni kweli kabisa.Na ndio lilikuwa lengo kuu la Yesu kufa msalabani.Kwa ajili ya uuaji wetu,uchawi n.k Yesu alikuja kutukomboa.
Yesu mwenyewe alisema" .......wenye afya hawamuhitaji Daktari ,bali ni walio wagonjwa.Sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu......."