Dk aliehusishwa na ubaakaji marie stopes akabidhiwa uchungaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk aliehusishwa na ubaakaji marie stopes akabidhiwa uchungaji

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Mar 4, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 36,097
  Likes Received: 6,851
  Trophy Points: 280
  Yule dk aliehusika na kashfa ya kubaka kule hospital ya marie stope
  amepewa uchungaji na moja ya makanisa ya kipentecoste
  akiwa katka vazi la utanashati kama anapokea
  degree yake dk huyo alitabasamu na alipoulizwa
  swala la kesi yake alijibu naomba tumwachie mungu awe msemaji wangu
  mungu awabariki...akuongeza wala kupunguza,dk-pastor mi nakuombea mungu unusurike na hili janga watu wengi wamekuwa wakichukiwa na kubambikizwa kesi za kubaka ,..mungu akakutenganishe na laana za majaji wanazopata kumhukumu mtu wakati ajatenda kosa
   
 2. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,840
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mmmh haya.
   
 3. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yalishawahi kusemwa kuwa kila aliyejifanya kuokoka ni lazima alikuwa mtenda maovu makubwa na kukimbilia kanisani kuficha machafu yake,haya oneni wenyewe!
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,935
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hujakosea.Ni kweli kabisa.Na ndio lilikuwa lengo kuu la Yesu kufa msalabani.Kwa ajili ya uuaji wetu,uchawi n.k Yesu alikuja kutukomboa.
  Yesu mwenyewe alisema" .......wenye afya hawamuhitaji Daktari ,bali ni walio wagonjwa.Sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu......."
   
 5. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,840
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Thats my girl! kwani kusingekuwa na dhambi, Yesu asingekufa msalabani.
   
 6. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,851
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Msifute matendo yake fuateni maneno yake:D
   
 7. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  sisi tukikaa kimya, Mungu aweza kunyanyua hata mawe yamtumikie.............. katika historia, Mungu amewahi kuwatumia kunguru kufanya kazi yake (kisa cha Eliya), amewahi kutumia samaki kufanya kazi yake (kisa cha Yona), amewahi kutumia simba wenye njaa (kisa cha daniel), amewahi kutumia wamisri kufanya kazi yake (kisa cha Yusuph, Musa na ukombozi wa wana wa israel toka utumwani).........nk nk.

  mifano ni mingi ya Kuthibitisha kuwa Mungu hutumia watu wema na waovu na pia hata viumbe vingine ambavyo si watu katika kufanya kazi ya kuvuna shambani kwake. kama samaki, kunguru walitumika, je haikumpasa sana huyu Dr ambaye ni mwandamu aliyeumbwa kwa mfano wake? je tuhuma za ubakaji zinamuomdolea thamani hiyo mbele za Mngu? hapana............ kama Mungu aweza kunyanyua mawe, si zaidi sana huyu ndugu aliye tayari kwa kazi ya utmishi?............. ndiyo, Bwana hata leo wawaita wateule wake wawe mitume, wachunga walishe kundi lake.........

  kila la heri mtumishi wa Mungu aliye hai..................
   
 8. T

  Tall JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mama mia kumradhi,mchungaji huyo akikuita uende peke yako kwa maombezi special ya mkesha kufuatana na maono aliyopewa utaenda?
   
 9. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,911
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Makanisa mengi ya kileo yamekaa kibiashara zaidi!!! Wanatumia nguvu za jiza katika kazi zao, wengi wao. Wengine wanahitajika kila baada ya muda fulani kwenda Nigeria kujiimarisha!!! Tunayumbishwa kiimani sana, tuwe makini mno.

  Matapeli wameshajua kuwa ukiwa na biashara ya kanisa na ukiwa ma kichwa kizuri cha kushika mistari ya biblia na kuonisha na shida za watu halafu ukaongezea na ufundi wa Kalimanjila basi ubillionaire umeupata!!! Muda si muda tutakuona unatanua barabarani na Harrier, Hammer, BMW, Rangerover, you name all posh cars!!! Tusidanganyike.
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ila sasa asije akaendeleza kale kamchezo atakapokuwa anatoaushauri kwa wanakondoo kwani mazingira ni yale yale kama dr angejituliza kwanza mbona fasta uchungaji
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ila yana mwisho na yote haya ni kwasababu watanzania ni wavivu ktk neno la mungu uko nigeria unakosema matapeli ni wengi ila wanaomtafuta mungu kiukweli ni wengi zaidi na ndio mana wapo juu kiroho kiasi kwamba wameweza kutofautisha wa mungu na washetani wapo wazi kabisa tofauti na kwetu uwezi kumjua wa ukweli na muongo wote wamoja na watanzania wameshapotoshwa awajui cha kweli na cha uongo na hiyo ni mpaka kwenye vitu vya kawaida ,kimwili na kiroho ni kichina china tu
   
 12. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Inabidi fasta fasta akasaidie wajane. Biblia ina wajane inawaita wajane kweli kweli. Halafu kuna wajane wengineo hawa wazidiwao na tamaa, wanahitaji maombi maalum ya ki-pastor zaidi.
   
 13. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ahaa ah kweli umenichekesha atakuwa anawafungua kwelikweli mh
   
 14. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa huyu jamaa ni ngumu sana kufuata maneno yake huku tumeyafumbia macho matendo yake, jamaa alifanya kiyu cha ajabu sana.
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 36,097
  Likes Received: 6,851
  Trophy Points: 280
  ntamuuliza mungu kwanza niende nisiende
  yawezekana nikienda mungu anaweza ntumia kumwambia maovu yake live
  na hivyo kumuokoa
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,831
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa dada/kaka yetu... Yesu hakuteswa kwa ajili ya waliokwisha uona ufalme; lakini nadhani tuangalie pia maana thabiti ya haki na nafasi ya nyumba ya mungu kwenye matukio haya

  Tuliambiwa tutubu, lakini huyu Dr. hakutubu... kumbuka hili "nakuungamia mungu mwenyezi, nayi ndugu zangu!!! je huyu mchungaji alisema kwamba amekosea kubaka mgonjwa?? haionyeshi kwamba amesema amekosea, bali amesema anamwachia mungu, ni hayohayo yametolewa na viongozi kule musoma baada ya mauaji, ni hayohayo alisema lowassa baada ya kujiuzulu nk.

  Lest not take things lightly na kwenye miamvuli, remember someone suffered from the rape!! hivi angekuwa ni wewe ungeweza sema hayo?

  Kuna daktari mwingine wa MOI alishawahi kubaka na kesi yake ikaisha hivihivi kwa kumuachia munngu!!! Je hawa akina Nguza na akina sixtus nao hawakumuachia mungu???

  Naomba tuvae viatu vya victims when we analyse these events!!!

  KUna baadhi ya makanisa yapo kibiahsara zaidi
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...