Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 21,628
- 44,137
Haufatilii mpira hadi watoto walisikia hii kauli wewe leo hii 2026 unataka clip watu wa siasa mmevamia mpira.Ona sasa mnajichanganya wenyewe 😄 chuki haimuachi mtu salama, acheni chuki fanyeni kazi. Hebu tuone ka clip kama unachosema ni kweli