Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 19,891
- 41,000
Adui muombee njaaa....hamna chochoteeTulizoea kuona reply za wanasimba zikiwa zimenuna bt leo zinacheka vibaya mno.
Adui muombee njaaa....hamna chochoteeTulizoea kuona reply za wanasimba zikiwa zimenuna bt leo zinacheka vibaya mno.
Wamebana weee hatimaye leo wameachia . Azam Katoa bikra ya utopolo bila hata malipo.Supu ya kupoza maumivu ya kutatuliwa linda ni wapi