Naomba ambaye aliweza kutunza zile Mixed CD/TAPES za JDs Bongo Explosion za DJ JD (John Dillinga Matlou) za miaka ya 2000 ak8wa anafanya project hiyo ya Bongo Explosion anisaidie niweze kuzipata nipo Arusha.
Kwa mujibu wa DJ JD akihojiwa na The playlist ya Times FM kuna mdau yupo Dodoma anazo plz kama unazo naomba tuwasiliane tuangalie nazipataje.
Asante.
Kwa maelezo yake anasema kuna mdau yupo Dodoma aliweza kutunza sasa issue ni kumpata huyo jamaa wa Dom!
Nshawasiliana nae nasubir majibu toka kwake....Ndo maana nakwambia ukiweza kuwasiliana na DJ JD ni napo utakapopata mawasiliano ya huyo jamaa.
Instagram ni njia rahisi zaidi, tafuta anatumia ID gani mfate DM (ni kama PM hapa JF), au kwenye post yake hapo hapo unamwuliza.
Check link huyo
John Dillinga (@djjdakathelegend) • Instagram photos and videos