Dj Fetty awachana BASATA

Hoja ya kipuuzi kabisa,hata kuijadili ni upotevu wa muda,IQ ya Fetty ni ndogo sana ndo maana anaongea hivyo... Matatizo ya kukimbilia ajira badala ya kusoma ndo hayo ya kina Fetty..
 

Umemaliza Yaani hakuna genius kama wewe 👏👏👏👍
 

Hata leo tukipiga kura ya kujua ni wangapi wanapinga adhabu ya BASATA kwa Shilole, nadhani wanaopinga watakuwa ni baadhi ya Wanaclouds na Nuhu tu.
 
Mkuu hebu weka mambo hadharani . kuna vijana wanamchukulia kama "role model"(i am not the one) kwao ,kwa hiyo ni muhimu kujua kama ni kweli ni graduate or not ili pia wajifunze hata kwa mistake za huyo role model wao(kama zipo)

Fatuma alikuwa Kilaza japo alipenda sana kusoma.. Nasikitika kumwanika kwamba HAKUFANIKIWA KUPATA GAMBA so kumuita Graduate/Degree Holder sidhani kama ni sifa za msingi.. Atanisamehe kama hii itaharibu reputation yake.

Lakini asilaumiwe, pengine hili lilitokea kutokana na kuwa na ratiba nyingi za kikazi ndani ya muda wa masomo, ni ukweli kabisa hakuwa mshiriki mzuri na pengine alijiamini kupitiliza kwa kuwa ameishi ndani ya fani ya J'sm kwa muda mrefu bila kujua Taaluma haikutaka hivyo. Tatizo lake kubwa lingine ni kipindi yuko masomoni alikuwa mbishi na kuhisi anajua kila kitu (much-know), hakuwa kipenzi cha wengi kwa 'shrugs' zake..

Sifanyi Xcter assasinations, lakini najaribu kutoa ushuhuda ili hata mnapoanza kumjadili na kauli zake muwe mnajua ni mtu wa aina gani..

She's so cute though, lolzz!!
 
Naona ugomvi na BASATA unaendelea. Nakumbuka BASATA walimnyima DaVido kibali cha kupanda jukwaani kwenye show ya Clouds baada ya kuwa tayari ana mkataba na Times fm. Wao wakampandisha kwa nguvu.

Hapa anaendeleza tu beef yao.
 
ivi uchi unahesabika vp? ziwa kuwa wazi shida iko wap mbona kina mama wananyonyesha watoto kwa public na tunaona poa tu! ziad ya kuonyesha chuchu sikuona kingine pale tena kwa kosa lililofanyikia nje ya nchi jurisdiction ikoje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…