Nyimbo zote hizo nilikuwa nazo nikazi weka kwenye hard disk, siku moja nikapigwa na Ransomware kila kitu nikapoteza
Ubaya ni kwamba hizo nyimbo za Nash, nyingi nilizichukua kutokaka kwa mwanangu
Ila kama uliwahi kununua direct kutoka kwake basi unaweza kutumia namba ile ile kumcheki akutumie maana huwa wanakuwa na rekodi kwa wateja zao