Dizasta Vina

Dizasta Vina

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
182
Reaction score
261
Dizasta vina hatia 1V.(hatia ya nne)

Hii kwangu ndio ngoma bora zaidi kutoka kwa Dizasta, Sijaona ngoma ya Dizasta inayoweza kukaa juu ya hiyo. Sio Mwanajua,Shahidi,Kikaoni wala Kibabu....


Mnasemaje wadau?


#forgive me
 
Iliskika tobaa,tena kwasauti ya kwanza/
wajanja mkwanja wamegonga/
Mjinga nauli imekata/
Maniga wamekomba dolla/
Wamezama machaka/
Na usawa wakugawana chapaa ndo ukawa utata/....
Akaskika dogo/

"nawaheshimu sana mabraza/
Mnafanya mgao gani ambao siuafiki hata/
Vile mimi ni mdogo/
Mnanifanyia undava/
Hamuezi mkagawa kote halafu mimi mkaniacha"/....

MONEY..
 
Iliskika tobaa,tena kwasauti ya kwanza/
wajanja mkwanja wamegonga/
Mjinga nauli imekata/
Maniga wamekomba dolla/
Wamezama machaka/
Na usawa wakugawana chapaa ndo ukawa utata/....
Akaskika dogo/

"nawaheshimu sana mabraza/
Mnafanya mgao gani ambao siuafiki hata/
Vile mimi ni mdogo/
Mnanifanyia undava/
Hamuezi mkagawa kote halafu mimi mkaniacha"/....

MONEY..
Inaitwa money?
 
Nyota Mia Moja na Hamsini Nyota Sifuri Sifuri alama ya Reli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom