Dizasta Vina ni nani?

Mojankati ya watu walionifanya nikarudisha mapenzi yangu kwa hip hop ni huyu jamaa

Nyimbo zake zina kila kitu ndani yake

Elimu

Utani

Burudani

Mzaha

Kukukanya

Kukuponda

Kufungua ubongo wako

Jamaa kakamilika sana ila tu bongo watu vichwa kama hawa hawapewi nafasi kabisa
 
Wabongo wanapenda vitu vya kung'aa-ng'aa. Vitu classic wako mbali navyo.
 
Kizuri huwa kinajiuza

nani akupe nafasi sasa

Imba mziki mzuri utawafikia watu tu

Kuna ngoma huwa zikitoka tu zinafungiwa lakini bado huwa nyimbo za taifa

Vp kuhusu mshkaji wenu mpaka apewe nafasi?
 
Nidondoshee list ya nyimbo zake kali nikazitafte
 
Kizuri huwa kinajiuza

nani akupe nafasi sasa

Imba mziki mzuri utawafikia watu tu

Kuna ngoma huwa zikitoka tu zinafungiwa lakini bado huwa nyimbo za taifa

Vp kuhusu mshkaji wenu mpaka apewe nafasi?
Hizo kauli za zamani sana. Biashara ni matangazo, hata kama una kizuri lakini usipokitangaza hakitauzika. Ndiyo maana makampuni makubwa hutumia mabilioni kujitangaza.
 
Dizasta ni mwana ngojera anaetumia midundo ya hiphop kuhadithia vitu mbalimbali.

Vijana wengi wa sasa wametokea kuvutiwa na ngojera zake kiasi cha kujichanganya kudhani anafanya muziki wa rap.

Kiuhalisia yupo genre moja na Mrisho Mpoto.
😂😂
 
Anafanya classic hiphop.
 
Dizasta Vina njoo utueleze wewe ni nani.

Ila kwenye story telling Dizasta ni moto kuna mangoma yake ya Hatia 1,2,3 na 4 pamoja na kikaoni, ndoano, na freestyle mbalimbali jamaa ni mnoma
 
Asilimia kubwa hiphop huongelea reallife alafu kuna mtindo wakueleza kitu kwa mafumbo hiphop huwezi kuta inasikiliwa sana baa au saluni na baadhi ya kumbi za starehe
Nimziki ambao unakutaka uwe tayari na unahitaji utulivu katik kuusikiliza
Hivyo hiphop inasikilizwa na watu wengi ukifatilia kwa upande wa mtu mmojammoja
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…