Unahisi nani atakimbia hao wakiamua kuchangamsha game? Chochote kinawezekana coz hata p na Niki mbishi nakumbuka waliingia kwenye huu upande, futi sita ya p mawenge ikamnyamazisha mbishi😅😅Wale wote mahomeboy hawawezi toa Diss track
45Ndio kina nani hawa? Sioni real ya Hip Hop hapo.
Wachumba tyuuh.
Hivi ni kweli hakuna bishoo anaeitwa kosmas 😅😅😅... Kuna ile line anamwambia wenzako wanapata mademu wakiniquote Mimi...Dunia ya muziki wa hip hop mara nyingi hukumbwa na misukosuko ya wasanii kuwa kwenye kutokuelewana ama bifu, lakini mashabiki wengi sasa wanaamini ni muda sahihi kwa Disasta Vina kumfungulia tena milango Rapcha.
View attachment 3478003
Vijana hawa wawili wamewahi kuandaa vibao vilivyotikisa, lakini ule mstari maarufu “Juzi juzi tu ulikuwa mtoto pori, leo unaita wachumba inbox mpigie story” ndio ulioibua mtikiso uliofanya Rapcha aonekane amevurugika na kupoteana.
View attachment 3478004
Rapcha amerudi tena na kuachia video ya wimbo wa “Lissa 2”, kitu ambacho kinaashiria kwamba huwenda amejifunza, ama amekomaa na yupo tayari kuendelea na game. Sio kila bifu lazima liishe kwa hasara, bali linaweza kuibua ukuaji na heshima zaidi.
Wale nao walitufelisha sana! Baadaye wakaja kuwa pamoja KIKOSI KAZIUnahisi nani atakimbia hao wakiamua kuchangamsha game? Chochote kinawezekana coz hata p na Niki mbishi nakumbuka waliingia kwenye huu upande, futi sita ya p mawenge ikamnyamazisha mbishi😅😅
Niki alisanda pale, P akipewa pen na karatasi huwa hafai kabisa, ni ananyoosha mwanzo mwisho... Niki huwa hatulii kwenye mada moja.Wale nao walitufelisha sana! Baadaye wakaja kuwa pamoja KIKOSI KAZI
Yaah man 😃 dogo ameyabebaSasa kwanini dogo a hold grudge to the point ambayp hata salamu kwa Dizasta hataki?
Unaelewa kwenye Remix ya Underrated ya Stamina, Rapcha alialikwa kwenye collabo ila baada ya kugundua na Dizasta yumo, dogo akasusa?
Dogo aliweka kiapo cha kufa na hapo ndio napoona alizingua kwasababu diss haipaswi kuchukuliwa too personal.
Motra na P walipasuana lakini still ni washkaji na wakikutana wanapiga stori nyingi.
Nikki na Weusi wanatupiana maneno kuanzia kwenye track mpaka interview, lakini juzi TUKUSA pale Arusha walimualika Lord Eyes na akafanya show kali kila mtu akafurahia.
Dogo inabidi ajue nature ya Hip hop ni nini ili kujiepusha na sumu ya chuki ambayo inamtafuna mwenyewe kwasababu ni yeye tu ndio aliyeweka vitu kifuani lakini mwenzake anajua misingi na hachukulii personal kama yeye.
Aliyemshauri Rapcha kamshauri vibaya na sehemu aliyoingia sio saizi yake kwanzaSasa kwanini dogo a hold grudge to the point ambayp hata salamu kwa Dizasta hataki?
Unaelewa kwenye Remix ya Underrated ya Stamina, Rapcha alialikwa kwenye collabo ila baada ya kugundua na Dizasta yumo, dogo akasusa?
Dogo aliweka kiapo cha kufa na hapo ndio napoona alizingua kwasababu diss haipaswi kuchukuliwa too personal.
Motra na P walipasuana lakini still ni washkaji na wakikutana wanapiga stori nyingi.
Nikki na Weusi wanatupiana maneno kuanzia kwenye track mpaka interview, lakini juzi TUKUSA pale Arusha walimualika Lord Eyes na akafanya show kali kila mtu akafurahia.
Dogo inabidi ajue nature ya Hip hop ni nini ili kujiepusha na sumu ya chuki ambayo inamtafuna mwenyewe kwasababu ni yeye tu ndio aliyeweka vitu kifuani lakini mwenzake anajua misingi na hachukulii personal kama yeye.
Tatizo siku hizi amejaa maneno mengi, ingawa siwezi mvunjia heshima... Yuko vizuri.Niki anapiga kotekote
Na wanasema aliondoka kwa Majani dogo akiwa anavimba hatari! Kiburi kipo 🔥Aliyemshauri Rapcha kamshauri vibaya na sehemu aliyoingia sio saizi yake kwanza
Tatizo siku hizi amejaa maneno mengi, ingawa siwezi mvunjia heshima... Yuko vizuri.
Hip-hop Ina nguzo moja inaitwa MC na kuna nyingine inaitwa knowledge so hayo majigambo na kurushiana maneno ya kupimana ubavu huwa yanabaki kwenye hiyo nguzo ya MC...Miaka kadhaa nyuma nilikuwa nafuatilia sana Hip Hop, baadae nikaja gundua ni haina tifauti na taarabu sema inaimbwa kwa namna tofauti.
Ila ni mwendo wa kupashana na kupeana mipasho.
Ameambiwa kaanza kujua jua madem ndio anajiona amekua😅😅😅Na wanasema aliondoka kwa Majani dogo akiwa anavimba hatari! Kiburi kipo 🔥
Nikki ni mtu makini sana japo kuna muda anafanyaga makuzi.Aliyemshauri Rapcha kamshauri vibaya na sehemu aliyoingia sio saizi yake kwanza
Tatizo siku hizi amejaa maneno mengi, ingawa siwezi mvunjia heshima... Yuko vizuri.
Sio kwa watu wa mbeya kaka ni ngumu sana kutoleana diss track japo me naamini incase kwenye hii 0.01% wakitoa Dizasta atafunika japo battle itakuwa ngumu sanaUnahisi nani atakimbia hao wakiamua kuchangamsha game? Chochote kinawezekana coz hata p na Niki mbishi nakumbuka waliingia kwenye huu upande, futi sita ya p mawenge ikamnyamazisha mbishi😅😅
Ukimuita Dizasta mchumba utakuwa hujamsikiliza, pata muda usikilize kazi zake utakuwa vizuri, mwenyewe nilikuwa namchukulia poa mpaka pale niliposikiliza kazi zake ndio nikajua huyu jamaa ni level nyingine.Ndio kina nani hawa? Sioni real ya Hip Hop hapo.
Wachumba tyuuh.
VIjana mkoshavuta mabangi, mnaakauka midomo vijiweni Hip hop. Hip hop. Nani mkaliSasa kwanini dogo a hold grudge to the point ambayp hata salamu kwa Dizasta hataki?