little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,098
- 3,990
Sure..Kama haiwashiki basi hawahusiki na haitowasaidia~ (One -Kivyovyote)
Point yangu ni kwamba, kama mtu ni mdau wa hip hop hawezi kupitwa na ngoma yoyote ya huyu jamaa. Ukiona mtu anasubiri hit song basi huyo ni "Shabiki rukia rukia"/ "Shabiki waru waru".
Nishazishusha ktk Pc sijapata muda wa kuziskiliza nahis kesho jion hiv ntaziskiliza vzrkuna hat
kuna hatia iv pia na shahidi zisikilize
Mkuu huu uzi sikuuona kabisa nashukuru kwa tagScars unakwama sana kijana wangu. Yani mpaka comment ya 20, bado hujafika na uzi unamuhusu Disaster?
Hebu leta lyrics hizo!
Nazani unajua kusoma tatizo ni kuelewaKama haiwashiki basi hawahusiki na haitowasaidia~ (One -Kivyovyote)
Point yangu ni kwamba, kama mtu ni mdau wa hip hop hawezi kupitwa na ngoma yoyote ya huyu jamaa. Ukiona mtu anasubiri hit song basi huyo ni "Shabiki rukia rukia"/ "Shabiki waru waru".
Kwenye kila jamii, lazima kuna chizi mmoja. Hatuwezi kua na uelewa sawa. Wala hatuwezi wote kupenda kitu kimoja.Mkuu huu uzi sikuuona kabisa nashukuru kwa tag
Japo siku hizi nimekuwa mvivu sana kuchangia uzi wenye maudhui ya Hip Hop kutokana na kukatishwa tamaa na members wengi wanaoonekana kutoujua huu mziki
Post za juu kuna mdau nimeona kasema Dizasta sio mkali kwasababu hana hitsong
Kumbuka hii platfom ndio kuna ile title ya home of great thinkers
Shida inaanzia pale unapomuona mwingine ana tatizo kumbe wewe ndie mwenye tatizo. Hii ndio ile tunaita,KUTOJITAMBUA.Nazani unajua kusoma tatizo ni kuelewa
Nashukuru umewekewa kua hujitambuiShida inaanzia pale unapomuona mwingine ana tatizo kumbe wewe ndie mwenye tatizo. Hii ndio ile tunaita,KUTOJITAMBUA.
Dizasta vina ndiyo nani?Kwa wapenzi wa hiphop hivi mmepata na nafasi ya kusikiliza hii nyimbo mpya dizasta vina hatia V aisee kuna ubunifu mkubwa umetumika sana humo hata akifa leo nyimbo zake zitasikilzwa milele jamaa anajua sana. Vipi maoni yako mwana #JF #DIZASTAVINA #HATIA View attachment 2459885
Relax mzee!Nashukuru umewekewa kua hujitambui
Huwezi kuelewa kama ww n bongo lalaBinafsi sijaona Kama dizasta n msanii mkali wa hip-hop Kama inavojaribu kutajwa humu.
Kwani Hana hit song ambayo imetoboa nje ya jamii ya wapenda hip-hop yaani kwa wale wasiokua mashabiki Lia Lia wa hip-hop...
Ngoma ambayo ilifanya vizuri kwenye platform mbalmbali Ni kanisa tu. Hizo zingine bado ziliishia kwetu tu wapenda hip-hop nazani Ni Muda Sasa ajitafute afanye muziki unaopenya kila angle...
Angalie kina Nikki mbishi, young killer, nash-mc, one hata stereo waliwezaje...

Kwa wapenzi wa hiphop hivi mmepata na nafasi ya kusikiliza hii nyimbo mpya dizasta vina hatia V aisee kuna ubunifu mkubwa umetumika sana humo hata akifa leo nyimbo zake zitasikilzwa milele jamaa anajua sana. Vipi maoni yako mwana #JF #DIZASTAVINA #HATIA View attachment 2459885
Binafsi sijaona Kama dizasta n msanii mkali wa hip-hop Kama inavojaribu kutajwa humu.
Kwani Hana hit song ambayo imetoboa nje ya jamii ya wapenda hip-hop yaani kwa wale wasiokua mashabiki Lia Lia wa hip-hop...
Ngoma ambayo ilifanya vizuri kwenye platform mbalmbali Ni kanisa tu. Hizo zingine bado ziliishia kwetu tu wapenda hip-hop nazani Ni Muda Sasa ajitafute afanye muziki unaopenya kila angle...
Angalie kina Nikki mbishi, young killer, nash-mc, one hata stereo waliwezaje...
Hebu Soma ulichoandika jibu lipo humo humo'Kwani hana hit song ambayo imetoboa nje ya jamii ya wapenda hip hop'
Unaelewa unachoongea we jamaa!? Jamii gani ya hip hop unayoongelea tofauti na hii iliyopo hapa maana ndio hiyo hiyo iliyopo huko mtaani.
Kumbe kuna mashabiki lia lia wa hip hop na wapenda hip hop!!! Naomba kujua tofauti yao tafadhal mana nachojua hip hop heads hatuangalii hit song tunaangalia contents na flows.
Hata mimi hatia iv naona ni habari nyingine, ila hii hatia v ni kali sana na yenyewe sema kaweka chakula cha ubongo zaidiDizasta ni genius, ni Messi wa Rap.
Hatia V ni Masterpiece,
lakini kwa mtazamo wangu katika mfululizo wa hizi Hatia (Hatia 1-5), hatia 4 itabaki kuwa kali zaidi.