Dizasta vina - Hatia V

amando pascal

Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
7
Reaction score
30
Kwa wapenzi wa hiphop hivi mmepata na nafasi ya kusikiliza hii nyimbo mpya dizasta vina hatia V aisee kuna ubunifu mkubwa umetumika sana humo hata akifa leo nyimbo zake zitasikilzwa milele jamaa anajua sana. Vipi maoni yako mwana #JF #DIZASTAVINA #HATIA
 
Hatia hii sijaisikia ngoja niitafute nimeskiliza zile za Mwanzo Hatia 1-3
 
DIZATA VINA, NI MTU MBAD SANA, JAMAA ANAJUA MPAKA ANAJUA TENA
 
Hatia V. Bado nimeishia 4 ngoja nitarudi
 
Ngoma kali kama magu na samia hivi ila inakataa
ila sio
 
Ndio msanii wa kwanza nina album zake zote 3
 
Binafsi sijaona Kama dizasta n msanii mkali wa hip-hop Kama inavojaribu kutajwa humu.
Kwani Hana hit song ambayo imetoboa nje ya jamii ya wapenda hip-hop yaani kwa wale wasiokua mashabiki Lia Lia wa hip-hop...
Ngoma ambayo ilifanya vizuri kwenye platform mbalmbali Ni kanisa tu. Hizo zingine bado ziliishia kwetu tu wapenda hip-hop nazani Ni Muda Sasa ajitafute afanye muziki unaopenya kila angle...
Angalie kina Nikki mbishi, young killer, nash-mc, one hata stereo waliwezaje...
 
Kama haiwashiki basi hawahusiki na haitowasaidia~ (One -Kivyovyote)

Point yangu ni kwamba, kama mtu ni mdau wa hip hop hawezi kupitwa na ngoma yoyote ya huyu jamaa. Ukiona mtu anasubiri hit song basi huyo ni "Shabiki rukia rukia"/ "Shabiki waru waru".
 
That's very sure, Dizasta ni wamoto kushinda Jua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…