PostGE2025 Diwani wa Kata ya Mwendakulima afanya uteuzi wa wasaidizi katika ofisi yake

PostGE2025 Diwani wa Kata ya Mwendakulima afanya uteuzi wa wasaidizi katika ofisi yake

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Mhe. Diwani wa Kata ya Mwendakulima ambaye pia naibu Meya wa Manispaa ya Kahama, Ndugu SHABAN MIKONGOTI amefanya uteuzi wa wasaidizi (2) watakao hudumu katika ofisi yake kama ifuatavyo:

i. Ndugu DEUS JOSEPH ametewuliwa kuwa Katibu wa ofisi ya Diwani anayeshughulikia Jamii na Mahusiano.
Ndugu DEUS ni mtaalamu wa rasilimali watu mwenye shahada ya kwanza kutoka chuo cha Ushirika Moshi (MUCOBs).

ii. Ndugu GABRIEL BUDUGU, ametewuliwa kuwa Katibu wa ofisi ya Diwani anayeshughulikia siasa na mawasiliano ya Umma.
Ndugu BUDUGU ni katibu wa uhamasishaji mstaafu kutoka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kahama.

Uteuzi huu umeanza rasmi kuanzia leo tarehe 3/12/2025, katika majukumu yao Mhe. Diwani anapenda kuomba Wananchi wa Kata ya Mwendakulima na Wadau wote kutoa ushirikiano kwa Wasaidizi wa Ofisi ya Diwani.

photo_2025-12-05_20-43-09.jpg
 
Back
Top Bottom