hamidshaban
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 262
- 32
Huwezi kuwa makini ukawa CCM.Poleni sana wana-Mpwapwa hasa wale wa Mitaa ya Igovu. Marehemu Dr. Maiselli, namfahamu sana alikuwa ni mtu makini sana japo alikuwa CCM.

Mkuu vita havina macho.!mkuu, kwanza tuwape pole wafiwa, then siasa zitakuja baaaadae kabisaaaaa,
Diwani wa CCM kata ya Mpwapwa amefariki huko India aikoenda kwa matibabu, amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kupigana na ugonjwa wa ini uliopelekea figo zake kufeli kabisa. Huko India alienda kwa nguvu za familia baada ya madaktari wa bongo kumshauri asiende huko, sasa wanainchi wanajiuliza gharama za kurudisha maiti zitakuwa za nani. Diwani huyu alijulikana kwa jina la Dr. Noah Maiseli ni msomi aliyesomea mambo ya vetenali na alikuwa amestaafu kazi serikalini.
MY TAKE : Chadema inaweza kuchukua kata hii kwa sababu Kigaila aliisha waamsha miezi kadhaa iliyopita na teyali wemiisha fungua ofisi na kadi zinauzwa kama njugu. Ila wakati Kigaila anawaamsha kiongozi mmoja wa CDM toka mkoa upande wa akinamama akijulikana kama EVA Mpagama aliwatukana walimu wanawake wa Mpwapwa kwani anabeaf nao mmoja wao anachukuliwa na mme wake walioachana kwa hiyo hafai kuja huku kifanya kampeni kwa sababu walimu wanawake wanaweza kupiga kura ya chuki.
Hizi habari zilete kaama taarifa za msiba wa mwanasiasa basi haya mambo ya cdm kuchukua hiyo kata na nani anatembea na nani huu sio wakatu wake wala hapa sio mahali pake!! mungu ailaze mahali inapostahili roho ya marehemu Diwani halafu sijaelewa vetenali ni kitu gani au you mean veterinary??
mkuu unajua swala sio kurudisha maiti ,,infact mtu akifa atuitaji kuumiza kichwa wapi pa kuzikia ..na akuna sehemu rahisi za kuzikia kama INDIA kama wafiw wanaitaaji kumzika INDIA kwa bei nafuu wa ni pm niwasiaidie..swala nani anakwenda kurithiudiwani wake kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa mpwa x2 ..KAMA WATAAONA MICHANGO AIFIKI KULE KUNA JAMAA WANACHOMA HADI MWILI ASO WAKIFIKIA MUAFAKA TUWASILIANE TU KWA MSAADA M NINA MAMA MDOGO KABISA AMEFIA MAREKANI WAKAHANGAIKA NDUGU NAWAANGALIA NIKATOA KAUSHAURI KAMOJA JAMANI MBONA HIVI MSIBA GANI SIKU 13 AMJUI KINACHOENDELEEAA..BAHATI NILIWAHI KUWA KULE NIKAWASILIANA NA FRIENDS ZANGU WAKAFANYA MAANDALIZI..NIKATOA WAZO JAAMNI TUPELEKE WAHUSIKA KADHAA TUKAZIKIE KULE LEO HII MAMA YETU MDOGO IKABIDI ALE URAIA WA MAREKANI KINGUVU KWA KUZIKIWA UKO UKO..
Watu wengine bwana............
Huwezi kuwa makini ukawa CCM.