Diwani Pascal Mhembano Matulah ameuga mkono juhudi

Diwani Pascal Mhembano Matulah ameuga mkono juhudi

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,181
Reaction score
1,494
Barua hiyo hapo jisomee mwenyewe
IMG-20181116-WA0003.jpeg
IMG-20181116-WA0001.jpeg
 
Mjinga, barua yenyewe kaandikiwa, halafu eti hapati ushirikiano toka viongozi wa kitaifa, jamani hata aliyemuandikia barua ni mbumbumbu, muandishi wa barua lengo lake ni viongozi wa kitaifa, diwani ana viongozi wa ngazi yake kiuongozi ni kata, wilaya, mkoa, kanda. Kushikiwa akili ni kubaya sana, yaani wanaokuandia barua lengo lake ni kuonesha viongozi wa kitaifa hawana uhusiano mzuri na viongozi wa chini, lkn mwandishi anasahau hata huko ccm Diwani hana mamlaka kuruka mpaka taifa, hii ni kuonesha wanunuaji wamechanganyikiwa na kukosa umakini
 
Back
Top Bottom