Diwani Kimara ahamishia Ofisi baa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani Kimara ahamishia Ofisi baa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Babu Lao, Feb 22, 2011.

 1. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Imebainika kuwa Diwani wa Kata ya Kimara, Paschal Manota, hana Ofisi.Akizungumza na gazeti hili, diwani huyo amesema amelazimika kuhamishia ofisi yake kwenye mkoba na wakati mwingine kulazimika kutumia duka la vifaa vya ofisini (Stationary) linalomilikiwa na mmoja wa wakazi wa Kimara, na wakati mwingine hufanyia kazi zake baa, ilimradi awatumikie wananchi.:A S 13:

  Source: DarLeo
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Mnyika upoooo? au tusubiri katiba mpya?
   
 3. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hii kali :A S 13:
   
 4. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Vipi, kwani ktk ofisi ya kata ambapo pana ofisi za mtendaji wa kata hapana chumba kwa ajili ya ofisi ya diwani? Au, vyote ni milki ya ccm, na akichaguliwa diwani wa chama kingine inabidi ijengwe/kukodishwa ofisi kwa ajli yake/chama chake.
   
 5. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,826
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  hapa ndo inaposhangaza kwani kwenye jengo la ofisi ya WEO,ndipo zinakopaswa kuwepo pia ofisi ya diwani.Ieleweke kuwa diwani ndio mwenyekiti wa WDC,au kata hiyo haina ofisi za WEO?
   
 6. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,493
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  Ni wakupitia chama gani?
   
Loading...