Diwani kata ya Mngeta Wilaya ya Kilombero awaongoza wananchi kukataa unyonyaji na uonevu

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,963
2,945
Ni diwani wa kata ya Mngeta wilayani Kilombero amechukua jukumu la kuwatoa kwa nguvu madereva wa malori yaliyokuwa yamezuiliwa na askari kwenye kizuizi cha barabarani.

Inatia uchungu sana kwa jinsi wakulima wanavyosota na shughuli za kilimo wengi wao wanatumikia hasara tu then wanatozwa 2500 kwa kila gunia afu mwenyekiti wa halmashauri anasema walipe tu.
 
Sheeeeenzi kabisa kwa wanyonyaji hao. Keep it up Diwani kwa kuwapenda na kuwathamini watu wako
 
Tena wamelalamika kwamba watozwa mara mbili pindi kabla mpunga haujakobolewa na baada ya kukobolewa.
Hivi Unafikiri mwananchi wa chini mlala hoi atamudu.
Sasa hapa tunaanza kupata majibu Kwamba hiyo bajeti trilioni 29 itafeli kwa kuwa haikuzingatia kipato cha mwananchi wa hali ya chini
 
nimeitizama taarifa ile ITV sikuielewa kabisa. Msaada taafadhali kwa aliyeielewa
 
Back
Top Bottom